Kutokana na ubora wa Max, Yao, Aziz Kii na Pacome ni dhahiri kunawakera sana SIMBA NA AZAM. Rai yangu ni Yanga ifanye kila iwezavyo kuwalinda hawa wachezaji ili kuepusha KUHUJUMIWA kama walivyofanya kwa Feisal Salum na Bernard Morrison miaka ile. Ingawa walichokitegemea katika mpango wa Feisal Salum KIMEFELI SANA maana alipoondoka tu Yanga ndipo timu ikastawi zaidi na huko AZAM KIWANGO CHAKE KIMEKUWA HAKITOFAUTIANI na MCHEZAJI WA KMC , MASHUJAA, DODOMA JIJI nk.
Wanajisifu hata kuihujumu kwa PATRICE NGOMA, Lakini huyu Mungu acha aitwe Mungu kwasababu KIWANGO chake kumbe ni cha kawaida sana .
Simba muda wote huwaza kuihujumu Yanga, na kwasasa wanaishirikisha Azam .
Nadhani Yanga mtakuwa mmenielewa. Walindeni wachezaji wenu hasa KIMASLAHI