Yanga wamlinde Yao na Max wasihujumiwe kama Feisal

Sasa mmekutana na vibonde..nalo limekua jambo kuubwaa...
Tulishampiga mtu 7 kwa 0..nyie kuweza??
Mtani Kalpana, embu, ili kuachana na hilo neno vibonde ambalo makolo wote hujifariji nalo, akiwemo GENTAMYCINE, sema mapemaaaa kwamba timu ipi si vibonde ili tukikutana nayo MSIBADILI GIA ANGANI na kuanza kudai ni vibonde..!!
 
Kinachotakiwa scout ya Hersi na wenzake iwe endelevu kwa kila nafasi na isisubiri dirisha la usajili.

Mpira wa miguu ni business mchezaji mzuri hawezi kukaa Yanga mwa mda mrefu lazima ataondoka.
Kinacho takiwa iwe kama ivi wanavyo fanya kinatoka Chuma kinaingia chuma kuliko cha jana.
Lazima wanyooshe mikono juu.
Na iyo ndio njia pekee tutakayoweza kushindana na timu kubwa Afrika. Maana hatuwezi kugombania nao mchezaji kwa sababu wamwtuzidi uwezo kipesa suluhisho ni kjwa na team nzuri ya scout tuweze kuwaona wachezaji wazuri kabla yao
 
Kutokana na ubora wa Max, Yao, Aziz Kii na Pacome ni dhahiri kunawakera sana SIMBA NA AZAM. Rai yangu ni Yanga ifanye kila iwezavyo kuwalinda hawa wachezaji ili kuepusha KUHUJUMIWA kama walivyofanya kwa Feisal Salum na Bernard Morrison miaka ile. Ingawa walichokitegemea katika mpango wa Feisal Salum KIMEFELI SANA maana alipoondoka tu Yanga ndipo timu ikastawi zaidi na huko AZAM KIWANGO CHAKE KIMEKUWA HAKITOFAUTIANI na MCHEZAJI WA KMC , MASHUJAA, DODOMA JIJI nk.
Wanajisifu hata kuihujumu kwa PATRICE NGOMA, Lakini huyu Mungu acha aitwe Mungu kwasababu KIWANGO chake kumbe ni cha kawaida sana .

Simba muda wote huwaza kuihujumu Yanga, na kwasasa wanaishirikisha Azam .
Nadhani Yanga mtakuwa mmenielewa. Walindeni wachezaji wenu hasa KIMASLAHI
Kweli umenena vyema.
 
"Football is business my sister". Alisikika mdau wa soccer akisema. UPO HAPO!
 
Back
Top Bottom