Yanga wamlinde Yao na Max wasihujumiwe kama Feisal

Sasa mmekutana na vibonde..nalo limekua jambo kuubwaa...
Tulishampiga mtu 7 kwa 0..nyie kuweza??
Mtani Kalpana, embu, ili kuachana na hilo neno vibonde ambalo makolo wote hujifariji nalo, akiwemo GENTAMYCINE, sema mapemaaaa kwamba timu ipi si vibonde ili tukikutana nayo MSIBADILI GIA ANGANI na kuanza kudai ni vibonde..!!
 
Na iyo ndio njia pekee tutakayoweza kushindana na timu kubwa Afrika. Maana hatuwezi kugombania nao mchezaji kwa sababu wamwtuzidi uwezo kipesa suluhisho ni kjwa na team nzuri ya scout tuweze kuwaona wachezaji wazuri kabla yao
 
Kweli umenena vyema.
 
"Football is business my sister". Alisikika mdau wa soccer akisema. UPO HAPO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…