Yanga wamlinde Yao na Max wasihujumiwe kama Feisal

Wacha woga wa kitoto,Simba wanafikiria mambo ya kikubwa zaidi kuhangaika na utopolo tumewaachia Azam na watoto wenzenu wengine.
 
Hivi unatambua kuwa Mwaka huu kimataifa mnaishia kwa Power dynamos. Yaani hata Makundi hamuingii. Najua taarifa hii INAKUUDHI NA HUTAKI KUISIKIA lakini Ukumbuke tu haya maneno nimekaa paleee
 
Hiyo siyo taarifa bali ni mawazo yako,mimi ni nani nikasirikie mawazo yako? Ninachojua mpira unachezwa uwanjani na Simba haina muda mchafu kufikiria mambo ya utopolo ilhali tuna kazi ya kufanya.
 
Ni kweli mna kazi kubwa ya kufanya maana kama timu kiwango kipo sawa na Jkt Tz
 
Hivi unatambua kuwa Mwaka huu kimataifa mnaishia kwa Power dynamos. Yaani hata Makundi hamuingii. Najua taarifa hii INAKUUDHI NA HUTAKI KUISIKIA lakini Ukumbuke tu haya maneno nimekaa paleee
Lolote baya liwakumbe wanalunyasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…