Yanga wamshitaki Barbara, Simba wamshitaki Manara

Yanga wamshitaki Barbara, Simba wamshitaki Manara

Hicho kimbaumbau barbra si juzi tu kalikuwa na kesi na ofisa wa tff, kakaomba msamaha?

This time ndio ataujua ukubwa wa yanga ameyakanyaga..
Ukubwa wa mavi.Kama kaweza kustopisha mkataba wa GSM nani anamuweza
 
Tulia wewe! Yanga ndiyo timu kubwa kuliko zote nchini.
Na ndiyo maana inaitwa timu ya wananchi wa Tanzania. Siyo timu ya Wahindi hii.
Mkubwa mbele ya geita, mbuni FC. Kwa mpira huu wa Africa, Yanga Ina ukubwa gani.

Tengenezeni timu ya ushindani mkashindane na wakubwa. Acheni umaandazi. Yanga ikicheza kimataifa ni imeenda Zanzibar, kombe la mapinduzi.
 
Wapi manara alitaja simba hapo?
Kumbu kumbu zako zinasemaje siku hiyo asec alikuw mgeni wa nani hapo kwa mkapa?
Kama hakuitaja simba kwanini alifuta haraka shida ilikuw nini?
 
Mwanaume kamili hawezi hata siku moja kudharau kazi za wanaume wenzake!

Dogo unatakiwa ujitathmini.
wewe Pimbi ulivyosema Simba timu ya wahindi ulimaanisha nn?

Mimi nakupa history ya kweli ya Yanga,,
Wewe umeona dharau.

Yanga imeanzishwa na makuli wa bandarini..
Uliza vizuri history uelezwe.

Sasa kama dharau unaileta wewe.
Ukweli ndy huo..
 
wewe Pimbi ulivyosema Simba timu ya wahindi ulimaanisha nn?

Mimi nakupa history ya kweli ya Yanga,,
Wewe umeona dharau.

Yanga imeanzishwa na makuli wa bandarini..
Uliza vizuri history uelezwe.

Sasa kama dharau unaileta wewe.
Ukweli ndy huo..
Sasa makuli ndiyo unafananisha na hayo magabachori yako! Hopeless kabisa wewe.
 
Back
Top Bottom