Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!!
GSM ni mfanyabiashara hivyo anafanya mpira wa biashara.
Ni wazi pamba imemkusanyia yanga point na magoli mengi ili yanga wachuukue ubingwa na GSM apate pesa zaidi.
Ukiangalia mwenendo wa ushindi wa yanga, anapata magoli mengi anapocheza na timu zilizo sajiliwa na GSM
Pia ili yanga ishindi saa zingine lazima wapizani wao wapewe kadi nyekundu ndio yanga anaweza kushinda.
Hata lilipocheza na Simba zile tano zilitokana na GSM kuwahonga wachezaji wa Simba mfano chama,baleke,kenedy,Inonga,Manula n.k la sivyo yanga angepigwa mengi siku hiyo.
TFF kunanamna wanakulaa rushwa kutoka kwa GSM ndio maana wanamruhusu GSM kuharibu mpira wetu.
Ushauri wangu kwasababu TFF hawasikii basi vilabu vingine vitoe malalamiko yao CAF au FIFA kuilalamikia TFF kwa kwa kuruhusu mazingira yanayoharibu soka letu.