Yanga wanagomea Mchezo kwa kuwa hawamtaki Kijumbe

Yanga wanagomea Mchezo kwa kuwa hawamtaki Kijumbe

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Nimejitihibitishia pasina shaka kuwa kuna hali fulani ya kuchanganyikiwa pale Utopolini.

Usijekuta wamechanganyikiwa kwa madeni katika michezo, wameibiwa na kijumbe wao halafu wanakuja huku kutuvuruga kwenye mpira wanatuimbia Hatuchezi, Hatuchezi! Embu tuwaulize vizuri, mchezo upi huo hawataki kucheza?

Sasa hivi nasikia eti wanataka kwenda Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu wazuie kutangazwa kwa bingwa wa NBC. Wewe unadhani akili yao ipo sawa hapo? Wanapenda sana kusumbua mahakama hawa viumbe.

Wanasema kuanzia mechi na Namungo wataenda uwanjani na mabango ya HATUCHEZI. Yaani, mnaenda uwanjani kucheza huku mnasema hamchezi!

Halafu nasikia wanajinadi kuwa kama Simba wana hamu na haraka ya kucheza nao sana basi wakutane CRDB Cup. Masikini, hawajui hata fainali ya CRDB ipo lini.
 
Akili za Vijana wa CCM hizi. Huu ndio Mtaji wa Mama Abdul. 😁😁😁
 
Back
Top Bottom