DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Nipe hadi Jumapili mida kama hii nitakutumiaTuonyeshe msimamo wa ligi ,domo kaya
Wewe jamaa siku nzima hili suala la madai ya yanga umelivalia njuga Sana as if kama umetumwa na hao TFF ..Unajua Yanga au kama ninavyopenda kuwaita Deportivo de Utopolo ni wapuuzi sana.
Baada ya kuona Simba inafanya vizuri kimataifa, kwenye ranking, uzinduzi na ushiriki wa AFL, fainali ya CAFCC, tuzo ya mashabiki bora na kuchangia pakubwa katika kuipandisha ligi ya Tanzania, wao wanaona kama wanasahaulika hivi au hawaimbwi kwa lolote, wanajaribu kupata vitu ambavyo watu wasiojielewa wakisaidiwa na chawa wao watasema "bila Yanga hili lisingetokea". Hizi ni propaganda.
CRDB waliingia mkataba na TFF katikati mwa msimu wa FA msimu uliopita. Kama ambavyo kawaida mikataba mingi ilivyo, mwaka wa kwanza pesa inakuwa ndogo na inaongezeka kwa jinsi miaka inavyokwenda. Kwa mfano, mwaka jana walitoa milioni 250 tu wakati msimu huu wametoa bilioni 1. Mkataba wa CRDB na TFF ulikuwa unaongezeka sana kwenye msimu huu wa 2024-25 na hata zawadi ya bingwa itakuwa kubwa zaidi. Zawadi inaweza kuwa hata hiyo milioni 200 waliyojipachikia katika deni la mwaka jana.
Kwa kujua hilo, Yanga wametengeneza hili zengwe ili mwisho wa siku zawadi ya mwaka huu ikitangazwa waonekane wao ndiyo waliipigania hadi zawadi ikaongezeka wakati ilikuwa katika mipango ya TFF.
Yanga wasingeweza kukacha kucheza fainali ya CRDB Cup dhidi ya Singida, kombe pekee msimu huu lililobaki ambalo wana uhakika wa kulichukua mpaka sasa.
Nasemaga siku zote, Yanga nawajua kama kiganja cha mikono yangu na hakuna janja janja yao ambayo naweza kushindwa kuifahamu.
Mimi ni mmoja wa watu wachache tunaotema facts tupu humu jukwaani. Kuna siku sitakuwepo tena. Furahia na thamini sana uwepo wangu.Wewe jamaa siku nzima hili suala la madai ya yanga umelivalia njuga Sana as if kama umetumwa na hao TFF ..
Unajua mashabiki wa yanga ni watu wenye chuki sana na watu wanaosema ukweliMimi ni mmoja wa watu wachache tunaotema facts tupu humu jukwaani. Kuna siku sitakuwepo. Furahia na thamini sana uwepo wangu.
Kwani ananyolewa nani?Za chini au za juu?Mnyolewe nyie sisi hayatuhusu.Rage alikua sahihi kabisa
Mashabiki wa 5imba kwenye hili sakata la pesa mngekaa kimya tu mnajiaibisha sana. Kumbukeni mwenzenu akinyolewa za kwenu tieni maji
Kwani ligi imekwisha? Au hamtacheza tena?Wavimba macho mna mambo.Tuonyeshe msimamo wa ligi ,domo kaya
Kwani ananyolewa nani?Za chini au za juu?Mnyolewe nyie sisi hayatuhusu.
Wisdom is chasing you but you are always faster. Degrees ninazo na unlike you sio za chupi.Dundee United.Elimu muhimu mkuu. Nina uhakika hauna hata degree ya kuchovya. Pole
We ni matakoUnajua Yanga au kama ninavyopenda kuwaita Deportivo de Utopolo ni wapuuzi sana.
Baada ya kuona Simba inafanya vizuri kimataifa, kwenye ranking, uzinduzi na ushiriki wa AFL, fainali ya CAFCC, tuzo ya mashabiki bora na kuchangia pakubwa katika kuipandisha ligi ya Tanzania, wao wanaona kama wanasahaulika hivi au hawaimbwi kwa lolote, wanajaribu kupata vitu ambavyo watu wasiojielewa wakisaidiwa na chawa wao watasema "bila Yanga hili lisingetokea". Hizi ni propaganda.
CRDB waliingia mkataba na TFF katikati mwa msimu wa FA msimu uliopita. Kama ambavyo kawaida mikataba mingi ilivyo, mwaka wa kwanza pesa inakuwa ndogo na inaongezeka kwa jinsi miaka inavyokwenda. Kwa mfano, mwaka jana walitoa milioni 250 tu wakati msimu huu wametoa bilioni 1. Mkataba wa CRDB na TFF ulikuwa unaongezeka sana kwenye msimu huu wa 2024-25 na hata zawadi ya bingwa itakuwa kubwa zaidi. Zawadi inaweza kuwa hata hiyo milioni 200 waliyojipachikia katika deni la mwaka jana.
Kwa kujua hilo, Yanga wametengeneza hili zengwe ili mwisho wa siku zawadi ya mwaka huu ikitangazwa waonekane wao ndiyo waliipigania hadi zawadi ikaongezeka wakati ilikuwa katika mipango ya TFF.
Yanga wasingeweza kukacha kucheza fainali ya CRDB Cup dhidi ya Singida, kombe pekee msimu huu lililobaki ambalo wana uhakika wa kulichukua mpaka sasa.
Nasemaga siku zote, Yanga nawajua kama kiganja cha mikono yangu na hakuna janja janja yao ambayo naweza kushindwa kuifahamu.
Sijui kwa nini umo humu JF.Unajua Yanga au kama ninavyopenda kuwaita Deportivo de Utopolo ni wapuuzi sana.

Wisdom is chasing you but you are always faster. Degrees ninazo na unlike you sio za chupi.Dundee United.
Hahahaha. Umeona akili zangu ni nyingi sana, nazipotezea humu kwa vilaza kama kina Mnyambo wa kyerwa na Tate MkuuSijui kwa nini umo humu JF.
Hahahaha. Imebidi tu nicheke. Watu mmevurugwa!We ni matako
Wewe ndio ulikimbilia degree kana kwamba ndio muhimu sana.Na kwa vile hujui hata kusoma hujaelewa nilichoandika.Hicho kidegree ka chupi unacho wewe. Kwa unavojieleza huwezi ukawa na hata certificate ya kupasi kwa uwezo wako.Ni lazima walikufiramisha.Pole sana sijauliza za chupi kumbe washatatua ili kuipata degree aisee