TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 11,431
- 31,527
Ligi gani? Kam ni hii ya bongo msimamo umevurugika sababu utopolo hawana imani na bodi ya ligiTuonyeshe msimamo wa ligi ,domo kaya

Hivi kwa nini msiache ushabiki, Yanga wanadai vitu vya maana kabisa. Ujinga ujinga tunaleta ushabiki.Unajua Yanga au kama ninavyopenda kuwaita Deportivo de Utopolo ni wapuuzi sana.
Baada ya kuona Simba inafanya vizuri kimataifa, kwenye ranking, uzinduzi na ushiriki wa AFL, fainali ya CAFCC, tuzo ya mashabiki bora na kuchangia pakubwa katika kuipandisha ligi ya Tanzania, wao wanaona kama wanasahaulika hivi au hawaimbwi kwa lolote, wanajaribu kupata vitu ambavyo watu wasiojielewa wakisaidiwa na chawa wao watasema "bila Yanga hili lisingetokea". Hizi ni propaganda.
CRDB waliingia mkataba na TFF katikati mwa msimu wa FA msimu uliopita. Kama ambavyo kawaida mikataba mingi ilivyo, mwaka wa kwanza pesa inakuwa ndogo na inaongezeka kwa jinsi miaka inavyokwenda. Kwa mfano, mwaka jana walitoa milioni 250 tu wakati msimu huu wametoa bilioni 1. Mkataba wa CRDB na TFF ulikuwa unaongezeka sana kwenye msimu huu wa 2024-25 na hata zawadi ya bingwa itakuwa kubwa zaidi. Zawadi inaweza kuwa hata hiyo milioni 200 waliyojipachikia katika deni la mwaka jana.
Kwa kujua hilo, Yanga wametengeneza hili zengwe ili mwisho wa siku zawadi ya mwaka huu ikitangazwa waonekane wao ndiyo waliipigania hadi zawadi ikaongezeka wakati ilikuwa katika mipango ya TFF.
Yanga wasingeweza kukacha kucheza fainali ya CRDB Cup dhidi ya Singida, kombe pekee msimu huu lililobaki ambalo wana uhakika wa kulichukua mpaka sasa.
Nasemaga siku zote, Yanga nawajua kama kiganja cha mikono yangu na hakuna janja janja yao ambayo naweza kushindwa kuifahamu.
Wewe ndio ulikimbilia degree kana kwamba ndio muhimu sana.Na kwa vile hujui hata kusoma hujaelewa nilichoandika.Hicho kidegree ka chupi unacho wewe. Kwa unavojieleza huwezi ukawa na hata certificate ya kupasi kwa uwezo wako.Ni lazima walikufiramisha.
Hiyo rank inawasaidia nini?Unajua Yanga au kama ninavyopenda kuwaita Deportivo de Utopolo ni wapuuzi sana.
Baada ya kuona Simba inafanya vizuri kimataifa, kwenye ranking, uzinduzi na ushiriki wa AFL, fainali ya CAFCC, tuzo ya mashabiki bora na kuchangia pakubwa katika kuipandisha ligi ya Tanzania, wao wanaona kama wanasahaulika hivi au hawaimbwi kwa lolote, wanajaribu kupata vitu ambavyo watu wasiojielewa wakisaidiwa na chawa wao watasema "bila Yanga hili lisingetokea". Hizi ni propaganda.
CRDB waliingia mkataba na TFF katikati mwa msimu wa FA msimu uliopita. Kama ambavyo kawaida mikataba mingi ilivyo, mwaka wa kwanza pesa inakuwa ndogo na inaongezeka kwa jinsi miaka inavyokwenda. Kwa mfano, mwaka jana walitoa milioni 250 tu wakati msimu huu wametoa bilioni 1. Mkataba wa CRDB na TFF ulikuwa unaongezeka sana kwenye msimu huu wa 2024-25 na hata zawadi ya bingwa itakuwa kubwa zaidi. Zawadi inaweza kuwa hata hiyo milioni 200 waliyojipachikia katika deni la mwaka jana.
Kwa kujua hilo, Yanga wametengeneza hili zengwe ili mwisho wa siku zawadi ya mwaka huu ikitangazwa waonekane wao ndiyo waliipigania hadi zawadi ikaongezeka wakati ilikuwa katika mipango ya TFF.
Yanga wasingeweza kukacha kucheza fainali ya CRDB Cup dhidi ya Singida, kombe pekee msimu huu lililobaki ambalo wana uhakika wa kulichukua mpaka sasa.
Nasemaga siku zote, Yanga nawajua kama kiganja cha mikono yangu na hakuna janja janja yao ambayo naweza kushindwa kuifahamu.
Asiyejua maana haambiwi maanaHiyo rank inawasaidia nini?
Huna loloteAsiyejua maana haambiwi maana
Wewe unalo lolote?Huna lolote
Jifunze hata kuandika. Pathetic.Pole mkuu degree ya kutatuliwa sio poa kabisa
Unajivunia rank ambayo wala hujui inakusaidia vipi matapishiWewe unalo lolote?
Nimekwambia asiyejua maana haambiwi maana. Unaelewa hata maana ya huo msemo?Unajivunia rank ambayo wala hujui inakusaidia vipi matapishi
Sijaona uhusiano wowote wa msimamo wa yanga na kuongezeka kwa zawadiUnajua Yanga au kama ninavyopenda kuwaita Deportivo de Utopolo ni wapuuzi sana.
Baada ya kuona Simba inafanya vizuri kimataifa, kwenye ranking, uzinduzi na ushiriki wa AFL, fainali ya CAFCC, tuzo ya mashabiki bora na kuchangia pakubwa katika kuipandisha ligi ya Tanzania, wao wanaona kama wanasahaulika hivi au hawaimbwi kwa lolote, wanajaribu kupata vitu ambavyo watu wasiojielewa wakisaidiwa na chawa wao watasema "bila Yanga hili lisingetokea". Hizi ni propaganda.
CRDB waliingia mkataba na TFF katikati mwa msimu wa FA msimu uliopita. Kama ambavyo kawaida mikataba mingi ilivyo, mwaka wa kwanza pesa inakuwa ndogo na inaongezeka kwa jinsi miaka inavyokwenda. Kwa mfano, mwaka jana walitoa milioni 250 tu wakati msimu huu wametoa bilioni 1. Mkataba wa CRDB na TFF ulikuwa unaongezeka sana kwenye msimu huu wa 2024-25 na hata zawadi ya bingwa itakuwa kubwa zaidi. Zawadi inaweza kuwa hata hiyo milioni 200 waliyojipachikia katika deni la mwaka jana.
Kwa kujua hilo, Yanga wametengeneza hili zengwe ili mwisho wa siku zawadi ya mwaka huu ikitangazwa waonekane wao ndiyo waliipigania hadi zawadi ikaongezeka wakati ilikuwa katika mipango ya TFF.
Yanga wasingeweza kukacha kucheza fainali ya CRDB Cup dhidi ya Singida, kombe pekee msimu huu lililobaki ambalo wana uhakika wa kulichukua mpaka sasa.
Nasemaga siku zote, Yanga nawajua kama kiganja cha mikono yangu na hakuna janja janja yao ambayo naweza kushindwa kuifahamu.
Kwani sasa hivi msimamo haupo?Nipe hadi Jumapili mida kama hii nitakutumia
Dundee United ni chuo? Haki ya nani mbumbumbu mlilogwa 😂😂Wisdom is chasing you but you are always faster. Degrees ninazo na unlike you sio za chupi.Dundee United.
Rank bila kombe lolote inakusaidia nini?? Hivi tp mazembe na Simba nani anatakiwa kuchekwa??Unajua Yanga au kama ninavyopenda kuwaita Deportivo de Utopolo ni wapuuzi sana.
Baada ya kuona Simba inafanya vizuri kimataifa, kwenye ranking, uzinduzi na ushiriki wa AFL, fainali ya CAFCC, tuzo ya mashabiki bora na kuchangia pakubwa katika kuipandisha ligi ya Tanzania, wao wanaona kama wanasahaulika hivi au hawaimbwi kwa lolote, wanajaribu kupata vitu ambavyo watu wasiojielewa wakisaidiwa na chawa wao watasema "bila Yanga hili lisingetokea". Hizi ni propaganda.
CRDB waliingia mkataba na TFF katikati mwa msimu wa FA msimu uliopita. Kama ambavyo kawaida mikataba mingi ilivyo, mwaka wa kwanza pesa inakuwa ndogo na inaongezeka kwa jinsi miaka inavyokwenda. Kwa mfano, mwaka jana walitoa milioni 250 tu wakati msimu huu wametoa bilioni 1. Mkataba wa CRDB na TFF ulikuwa unaongezeka sana kwenye msimu huu wa 2024-25 na hata zawadi ya bingwa itakuwa kubwa zaidi. Zawadi inaweza kuwa hata hiyo milioni 200 waliyojipachikia katika deni la mwaka jana.
Kwa kujua hilo, Yanga wametengeneza hili zengwe ili mwisho wa siku zawadi ya mwaka huu ikitangazwa waonekane wao ndiyo waliipigania hadi zawadi ikaongezeka wakati ilikuwa katika mipango ya TFF.
Yanga wasingeweza kukacha kucheza fainali ya CRDB Cup dhidi ya Singida, kombe pekee msimu huu lililobaki ambalo wana uhakika wa kulichukua mpaka sasa.
Nasemaga siku zote, Yanga nawajua kama kiganja cha mikono yangu na hakuna janja janja yao ambayo naweza kushindwa kuifahamu.
No reform no electionUnajua Yanga au kama ninavyopenda kuwaita Deportivo de Utopolo ni wapuuzi sana.

No reform no electionHivi kwa nini msiache ushabiki, Yanga wanadai vitu vya maana kabisa. Ujinga ujinga tunaleta ushabiki.
No reform no elections hilo ndo dai la maanaHiyo rank in
Hivi kwa nini msiache ushabiki, Yanga wanadai vitu vya maana kabisa. Ujinga ujinga tunaleta ushabiki.
Wewe ni kijana wa Rage, au Mangungu! Ni vizuri nikafahamu mapema kabla ya kukujibu. Maana vijana wa Rage wenyewe ni mbumbumbu, na wale wa Mangungu ni mazezeta.Hahahaha. Umeona akili zangu ni nyingi sana, nazipotezea humu kwa vilaza kama kina Mnyambo wa kyerwa na Tate Mkuu
Wewe ndio kilaza.Dundee United ni synonym for someone stupid.Someone like you.Nani alikuambia ni Chuo?.What a Dundee United.Sikutegemea utaelewa it is above your standards if you have any.Dundee United ni chuo? Haki ya nani mbumbumbu mlilogwa 😂😂