Yanga wanajua zawadi ya mshindi wa CRDB Cup ilikuwa inaenda kuongezeka msimu huu

Hivi kwa nini msiache ushabiki, Yanga wanadai vitu vya maana kabisa. Ujinga ujinga tunaleta ushabiki.
 
Pole mkuu degree ya kutatuliwa sio poa kabisa
 
Hiyo rank inawasaidia nini?
 
Sijaona uhusiano wowote wa msimamo wa yanga na kuongezeka kwa zawadi
 
Rank bila kombe lolote inakusaidia nini?? Hivi tp mazembe na Simba nani anatakiwa kuchekwa??
 
No reform no election
 
Dundee United ni chuo? Haki ya nani mbumbumbu mlilogwa πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe ndio kilaza.Dundee United ni synonym for someone stupid.Someone like you.Nani alikuambia ni Chuo?.What a Dundee United.Sikutegemea utaelewa it is above your standards if you have any.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…