Yanga wanapangiwa matokeo nje ya uwanja, Timu hazikabi, Makocha hawaoneshi kuumia

Poleni sana makolo kwa kuumizwa na kipigo cha leo, bt pungezeni milio maana nanyi mtafikiwa soon.
Mechi ya kwanza Ndani ya dk 90 ulishindwa kupata hata goli la offside tena simba ikiwa inajitafuta.
 
Timu ya Mwigulu ulitarajia nini kifanyike zaidi ya kilichofanyika?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…