Yanga wanapangiwa matokeo nje ya uwanja, Timu hazikabi, Makocha hawaoneshi kuumia

Yanga iliyofungwa na Azam,Tabora,Al hilal na Mc alger na kudraw na Mazembe na Yanga hii ya mechi 4 nyuma ni Yanga mbili tofauti.

Ukiziangalia kwa jicho la mpira utaona utofuti huo.

Ila ukiziangalia kwa jicho la Rage hautoona huo utofauti.
Yanga ni ile ile haijabadilika chochote kiuchezaji . Kilichobadilika ni mfumo wa utoaji bahasha tu kwa kuongeza unene wa bahasha ambao unazifanya timu pinzani zicheze kwa maelekezo

Klabu Bingwa inaenda kuwaonesha ukweli kwamba huku NBC PL mnashinda kwa nguvu ya bahasha
 
Nyie makolo bahasha alikua anapokea nani?
 
Kwani Ata nyie Makolo mlivopigwa 5 mlikuwa hamkabi?.!
Tayari mlikuwa na naduka yenu ndani ya simba . (Chama , Baleke ,Inonga ) Tofauti na hapo msingeweza .

Hii ya juzi aliyeifunga simba ni Kayoko siyo utopolo.
 
Kuwa muelewa walikukanda tano bado wapo Yanga,max,aziz,pacome na usipokaa vizuri watakukanda tena,mana usiunaijua tabia ya popobawa?
Popo bawa ni tabora united tangu akukande bao 3- 1 ukakigawa kwa waarabu inye yote haina marinda 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…