Yanga wanatumia janja ya kususia derby ili msimu ujao washiriki Kombe la Shirikisho la CAF

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Wenye mamlaka za soka Tanzania inabidi watulie na wawasome hawa Yanga na nini hasa wanataka kufanya wanaposema wanasusia derby.

Yanga wameshapiga mahesabu kuwa hawawezi kushushwa daraja hata wafanye makosa gani hata yale ambayo adhabu yake ni kushushwa daraja.

Pia wanajua CAFCL ni mashindano magumu na hawawezi kutoboa msimu ujao na hawa wachezaji wao waliojichokea.

Mahesabu ya Yanga yapo hivi:
  1. Wanajua busara itatumika, watapewa adhabu zingine ila hawawezi kushushwa daraja
  2. Waendelee kujikusanyia pwenti za kutosha katika ligi ili hata wakikatwa pwenti 15, wadondokee nafasi ya 3. Ndiyo maana wanaweka nguvu kubwa ya kupata magoli ya kutosha, wanajua yanaweza kuwasaidia mwishoni mwa msimu
  3. Wapambane kupata CRDB Cup ili pia kuwatuliza mashabiki wao waondoke at least na kombe moja la maana

Cha msingi kuliko vyote, na ndiyo msingi wa mipango yao na hizi janja janja za kususa ni kuwa wameumizwa saaanaa na Simba kufika fainali ya CAFCC na wana hofu kubwa ya uwezekano wa Simba kubeba kombe. Wanatumia hizi kona kona ili warudi kule Shirikisho na wanaona wakipania, msimu ujao nao wanaweza kufika tena fainali.

Hapa dawa ni CAF watangaze kuwa mashindano ya CAF Shirikisho mwakani hayatakuwepo, utaona hawa watu watakavyogeuka.
 
Kepha Kayombo Fc aka Tatu Malogo Fc aka Japhet Smart Fc aka Ahmada Simba Fc katika ubora wake.
 
Duh ila mahesabu haya yanaiweka Yanga downstairs Kabisa, Mwanasheria wao anaenda kufeli tena hapo
 
Huyo mwanasheria wanamtumia kama chambo tu ila ni maamuzi na mipango ya uongozi mzima. Huyo CEO wao anaijua hiyo mipango vizuri ya kujivunja maana ndiyo walikuwa wanaitumia alipokuwa TP Mazembe.
 
Mahesabu ya Yanga hapo hivi

494972757_674528725156324_5606711350668798763_n.jpg

Kama ni kweli ni Tanzania, basi ni Yanga coz ukiangalia bifu lao na TFF kuna mambo makubwa nyuma ya pazia yanaendelea!
 
Wenye mamlaka za soka Tanzania inabidi watulie na wawasome hawa Yanga na nini hasa wanataka kufanya wanaposema wanasusia derby.

Yanga wameshapiga mahesabu kuwa hawawezi kushushwa daraja hata wafanye makosa gani hata yale ambayo adhabu yake ni kushushwa daraja.

Pia wanajua CAFCL ni mashindano magumu na hawawezi kutoboa msimu ujao na hawa wachezaji wao waliojichokea.

Mahesabu ya Yanga hapo hivi:
  1. Wanajua busara itatumika, watapewa adhabu zingine ila hawawezi kushushwa daraja
  2. Waendelee kujikusanyia pwenti za kutosha katika ligi ili hata wakikatwa pwenti 15, wadondokee nafasi ya 3. Ndiyo maana wanaweka nguvu kubwa ya kupata magoli ya kutosha, wanajua yanaweza kuwasaidia mwishoni mwa msimu
  3. Wapambane kupata CRDB Cup ili pia kuwatuliza mashabiki wao waondoke at least na kombe moja la maana

Cha msingi kuliko vyote, na ndiyo msingi wa mipango yao na hizi janja janja za kususa ni kuwa wameumizwa saaanaa na Simba kufika fainali ya CAFCC na wana hofu kubwa ya uwezekano wa Simba kubeba kombe. Wanatumia hizi kona kona ili warudi kule Shirikisho na wanaona wakipania, msimu ujao nao wanaweza kufika tena fainali.

Hapa dawa ni CAF watangaze kuwa mashindano ya CAF Shirikisho mwakani hayatakuwepo, utaona hawa watu watakavyogeuka.
Yanga wanatafuta sababu ya kurudi CAS na huu ni mtego kwa tff na bodi ya ligi chochote watakachofanya hata km nikizuri kitaonekana kibaya,timu inaenda poromoka misimu 2 ijayo wasiposajili wachezaji wa next generation walio bora sasa wanatafuta sbb,au wanataka viongozi wa yanga wa zamani warudi tff
 
Hawawezi kurudi tena CAS bila kupitia ngazi za ndani ambazo katika barua hiyo ya leo wameapa hawatazitumia. Nakwambia hii yote ni janja janja tu waonekane wamepambana ila wanajua wanachokifanya.
 
Wenye mamlaka za soka Tanzania inabidi watulie na wawasome hawa Yanga na nini hasa wanataka kufanya wanaposema wanasusia derby.

Yanga wameshapiga mahesabu kuwa hawawezi kushushwa daraja hata wafanye makosa gani hata yale ambayo adhabu yake ni kushushwa daraja.

Pia wanajua CAFCL ni mashindano magumu na hawawezi kutoboa msimu ujao na hawa wachezaji wao waliojichokea.

Mahesabu ya Yanga hapo hivi:
  1. Wanajua busara itatumika, watapewa adhabu zingine ila hawawezi kushushwa daraja
  2. Waendelee kujikusanyia pwenti za kutosha katika ligi ili hata wakikatwa pwenti 15, wadondokee nafasi ya 3. Ndiyo maana wanaweka nguvu kubwa ya kupata magoli ya kutosha, wanajua yanaweza kuwasaidia mwishoni mwa msimu
  3. Wapambane kupata CRDB Cup ili pia kuwatuliza mashabiki wao waondoke at least na kombe moja la maana

Cha msingi kuliko vyote, na ndiyo msingi wa mipango yao na hizi janja janja za kususa ni kuwa wameumizwa saaanaa na Simba kufika fainali ya CAFCC na wana hofu kubwa ya uwezekano wa Simba kubeba kombe. Wanatumia hizi kona kona ili warudi kule Shirikisho na wanaona wakipania, msimu ujao nao wanaweza kufika tena fainali.

Hapa dawa ni CAF watangaze kuwa mashindano ya CAF Shirikisho mwakani hayatakuwepo, utaona hawa watu watakavyogeuka.
[/QUOTE
Yanga imeshazufunga Timu zote msimu huu na zinazo fuata zinajirudia tu.
Yanga haiyumbishwi na mbumbumbu.
 
View attachment 3325223
Kama ni kweli ni Tanzania, basi ni Yanga coz ukiangalia bifu lao na TFF kuna mambo makubwa nyuma ya pazia yanaendelea!

Kombe lishafutwa..unaongelea lipi?
CAF bado hawajatangaza rasmi kulifuta.

Hapo cha msingi ili kukomesha huu uhuni wao wanaofanya ni.
  1. CAF watangaze kufuta mashindano ya CAFCC kuanzia msimu ujao, au
  2. Azam adondoshe pwenti katika mechi zake mbili zinazofuata (hii itamlazimu Yanga naye adondoshe pwenti jambo litakalozua maswali mengi sana na ndiyo hizi habari za upangaji wa matokeo zitakaposhika kasi maana mechi pekee iliyokuwa imebaki kwa ugumu ni derby), na
  3. Yanga ikose CRDB Cup kwa ama kufungwa na JKT au katika fainali
Bado mahesabu yao hayajakaa sawa sana kufanikisha hili. Kuna mambo yaliyo nje ya uwezo wao yakitokea yatawalazimu kucheza derby kwa namna yoyote ile.
 
Hata Yanga akisusia mechi na akakatwa point 15 kikanuni bado atamaliza nafasi ya pili, na hili uongozi unalitambua vizuri tu

NB: Yanga wako tayari mpewe kombe ila hawachezi
 
Yanga akikatwa pwenti 15 atakuwa anamzidi Azam kwa pwenti 1 tu, bila kuhesabu mechi zilizobaki. Sasa soma nilichoandika post #13
 
Wenye mamlaka za soka Tanzania inabidi watulie na wawasome hawa Yanga na nini hasa wanataka kufanya wanaposema wanasusia derby.

Yanga wameshapiga mahesabu kuwa hawawezi kushushwa daraja hata wafanye makosa gani hata yale ambayo adhabu yake ni kushushwa daraja.

Pia wanajua CAFCL ni mashindano magumu na hawawezi kutoboa msimu ujao na hawa wachezaji wao waliojichokea.

Mahesabu ya Yanga yapo hivi:
  1. Wanajua busara itatumika, watapewa adhabu zingine ila hawawezi kushushwa daraja
  2. Waendelee kujikusanyia pwenti za kutosha katika ligi ili hata wakikatwa pwenti 15, wadondokee nafasi ya 3. Ndiyo maana wanaweka nguvu kubwa ya kupata magoli ya kutosha, wanajua yanaweza kuwasaidia mwishoni mwa msimu
  3. Wapambane kupata CRDB Cup ili pia kuwatuliza mashabiki wao waondoke at least na kombe moja la maana

Cha msingi kuliko vyote, na ndiyo msingi wa mipango yao na hizi janja janja za kususa ni kuwa wameumizwa saaanaa na Simba kufika fainali ya CAFCC na wana hofu kubwa ya uwezekano wa Simba kubeba kombe. Wanatumia hizi kona kona ili warudi kule Shirikisho na wanaona wakipania, msimu ujao nao wanaweza kufika tena fainali.

Hapa dawa ni CAF watangaze kuwa mashindano ya CAF Shirikisho mwakani hayatakuwepo, utaona hawa watu watakavyogeuka.
Duh!
 
Back
Top Bottom