Yanga wanatumia janja ya kususia derby ili msimu ujao washiriki Kombe la Shirikisho la CAF

Yanga wanatumia janja ya kususia derby ili msimu ujao washiriki Kombe la Shirikisho la CAF

Akili za kishoger unazošŸ˜‚
CAF bado hawajatangaza rasmi kulifuta.

Hapo cha msingi ili kukomesha huu uhuni wao wanaofanya ni.
  1. CAF watangaze kufuta mashindano ya CAFCC kuanzia msimu ujao, au
  2. Azam adondoshe pwenti katika mechi zake mbili zinazofuata (hii itamlazimu Yanga naye adondoshe pwenti jambo litakalozua maswali mengi sana na ndiyo hizi habari za upangaji wa matokeo zitakaposhika kasi maana mechi pekee iliyokuwa imebaki kwa ugumu ni derby), na
  3. Yanga ikose CRDB Cup kwa ama kufungwa na JKT au katika fainali
Bado mahesabu yao hayajakaa sawa sana kufanikisha hili. Kuna mambo yaliyo nje ya uwezo wao yakitokea yatawalazimu kucheza derby kwa namna yoyote ile.
 
Wenye mamlaka za soka Tanzania inabidi watulie na wawasome hawa Yanga na nini hasa wanataka kufanya wanaposema wanasusia derby.

Yanga wameshapiga mahesabu kuwa hawawezi kushushwa daraja hata wafanye makosa gani hata yale ambayo adhabu yake ni kushushwa daraja.

Pia wanajua CAFCL ni mashindano magumu na hawawezi kutoboa msimu ujao na hawa wachezaji wao waliojichokea.

Mahesabu ya Yanga yapo hivi:
  1. Wanajua busara itatumika, watapewa adhabu zingine ila hawawezi kushushwa daraja
  2. Waendelee kujikusanyia pwenti za kutosha katika ligi ili hata wakikatwa pwenti 15, wadondokee nafasi ya 3. Ndiyo maana wanaweka nguvu kubwa ya kupata magoli ya kutosha, wanajua yanaweza kuwasaidia mwishoni mwa msimu
  3. Wapambane kupata CRDB Cup ili pia kuwatuliza mashabiki wao waondoke at least na kombe moja la maana

Cha msingi kuliko vyote, na ndiyo msingi wa mipango yao na hizi janja janja za kususa ni kuwa wameumizwa saaanaa na Simba kufika fainali ya CAFCC na wana hofu kubwa ya uwezekano wa Simba kubeba kombe. Wanatumia hizi kona kona ili warudi kule Shirikisho na wanaona wakipania, msimu ujao nao wanaweza kufika tena fainali.

Hapa dawa ni CAF watangaze kuwa mashindano ya CAF Shirikisho mwakani hayatakuwepo, utaona hawa watu watakavyogeuka.
Yanga wana viongozi wenye akili, sio kama mangungo na wahuni wenzie
 
Back
Top Bottom