Yanga waomba kutumia uwanja wa Amani Zanzibar

Yule mganga wao wa Pemba kawambia wakae karibu.
 
Ha ha ha ha yanga wamewaza mbali sana ki ukwel kwenda znz sio wazo baya ni zur atlist wenye lig yao kule washtuke.
 
Hizi team za Simba na Yanga zinakaribia miaka 100 ila zinashindwa kuwa na viwanja vyao binafsi, aibu sana. Sasa zile hela za mapato malangoni, hela ya udhamini, hela za wanachama, hela biashara zinakwendaga Wapi?
 
hawatoruhusiwa kutumia uwanja ulio nje ya mipaka ya Tanzania bara.... hiyo ni kanuni ya mashindano haya ya VPL sijui uongozi wa Yanga hawasomi hizi kanuni

Hakuna kitu kinaitwa mipaka ya Tanzania Bara. Kuna ligi ya Tanzania Bara na ligi ya Zanzibar. Hawaendi Zanzibar kucheza ligi ya Zanzibar. Wanakwenda kuchezea mechi zao Zanzibar!
 
Simba waende uwanja wa majimaji songea halafu tukutane na kupishana njiani.
 
Safi sana serikali isiwaruhusu hizi timu tena kutumia viwanja mpaka wajenge vyao watahangaika wee mpaka wapate akili ya kujenga we miaka 80 timu haiana uwanja hata wa mazoez huu si ushenzi huu wanashindwa na azam timu ya juz tu
 
Wakachezee uwanja wao pale Jangwani.
Ingwaje kwa kiasi kikubwa Yanga hawakuhusika na uharibifu wa U wa Taifa, kitendo cha uharibifu kimekera sana watu.
Katika ustaarabu Yanga na Simba haamo.
So Yanga nikama vile wameonewa
 
Hizi team za Simba na Yanga zinakaribia miaka 100 ila zinashindwa kuwa na viwanja vyao binafsi, aibu sana. Sasa zile hela za mapato malangoni, hela ya udhamini, hela za wanachama, hela biashara zinakwendaga Wapi?
Italia timu yenye kiwanja chake ni juve tu.... Usimshangae Yanga wala Simba kutokuwa na viwanja
 
Hizi team za Simba na Yanga zinakaribia miaka 100 ila zinashindwa kuwa na viwanja vyao binafsi, aibu sana. Sasa zile hela za mapato malangoni, hela ya udhamini, hela za wanachama, hela biashara zinakwendaga Wapi?

Kama rahisi kukodi kwanini ujenge? hata nyumba wengi wanapanga sababu its cheaper kupangisha kuliko kujenga ya kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…