Yanga waomba kutumia uwanja wa Amani Zanzibar

Hapa tunajifunza mengi sana,Yanga imeanzishwa 1935,NI miaka zaidi ya 80 mpaka sasa lakini hawana kiwanja chao japo wana funbase(mashabiki) wengi.
Yanga wana wanachama zaidi ya mil 10 na mashabiki zaidi ya Mil 15 Tanzania nzima na nje ya Tanzania,Ambapo kila mwanachama angetoa sh elfu5 wangepata bilioni 50,Ambazo wangeweza kujenga kiwanja chao cha kisasa kuliko hata kile cha AZAM COMPLEX
Lkn cha kushangaza leo mwaka 2016 zaidi ya miaka 80 Yanga hawana kiwanja chao binaf wanaomba kwa serikali,pamoja na UTAJIRI wa washabiki walio nao wanashindwa kutumia fursa hyo,wanashindwa na AZAM ambayo haina hata miaka 10 kwenye game lkn sasa hivi wanamiliki KIWANJA BORA TANZANIA ukiacha uwanja wa Taifa,Pia wana GYM ya kisasa na hostel za kisasa za wachezaji.Manji alipotaka kuikodisha YANGA kwa malengo mazuri waswahili wakapiga kelele leo waswahili hao wanatembeza BAKULI kuomba uwanja.SHAME ON YOU NDALA
HII NI LAANA,japo juzi waliweka jiwe la msingi lkn waswahili ni waswahili tuu
Serikali iwape uwanja wa NANGWANDA SIJAONA WA MTWARA,wakaruke majoka huko.....bado kidogo ningesema sipendagi ujinga mimi
Trump aliwahi kusema there is no shortcut to maturity,wataz hatuwezi kujitawala
 
hawatoruhusiwa kutumia uwanja ulio nje ya mipaka ya Tanzania bara.... hiyo ni kanuni ya mashindano haya ya VPL sijui uongozi wa Yanga hawasomi hizi kanuni

Wamechanganyikiwa sio wao......umaskini mbaya....Azam haina shida
kabsa

Simba na Yanga sasa waone aibu.....wajenge viwanja vyao ndan ya miaka 5-10 hii .....waache ngojera na siasa za miaka 80 katka soka
 
Khe we mama unahasira na yanga!!!!mbona hujaongelea mikia au nyie mnauwanja?
 
Hakuna kitu kinaitwa mipaka ya Tanzania Bara. Kuna ligi ya Tanzania Bara na ligi ya Zanzibar. Hawaendi Zanzibar kucheza ligi ya Zanzibar. Wanakwenda kuchezea mechi zao Zanzibar!
Umesoma barua ya yanga au
 
Aisee.Bravoooooooooooooooo
Yanga oyeeeeeeeeeeee,aisee nimefurahi saana kusikia habari hii
Itasaidia yafuatayo

a)Uchumi wa Zanzibar
Hapa kuna Drivers wa Taxis,Vi Guest,Mamalishe,pia wauzaji wa vifaa
vya Electonic almaarufu used,hapa ndio kwao
Na Pia ZFA,wanaweza kupata pesa ya Mapato kwa kuendeleza Ligi ya Hapa.

b)Hamasa kwa Wachezaji wachanga wenye Ndoto Kubwa

c)Heshima kwa Mashabiki Lukuki wa Yanga waliopo Zanzibar

d)Heshim kwa Mama Karume,muasisi

f)Kubwa Zaidi,italeta urafiki na ukaribu baina ya mashabiki,na matawi ya Dar na Zanzibar

Nawapongeza sana Yanga kwa Hili,na lingekuwa linafanyika Mwaka Dar na Mwaka Zanzibar.

Mie ni Shabiki wa AZAM FC,ila napenda sana kuona Jambo Chanya kwa Team yoyote kwenye Michezo.

Kanuni:
Kuna mdau amesema kwamba Kanuni haziruhusu kucheza nje ya Tanzania Bara.Ajiulize kwamba the same Kanuni ipo kwamba Team za Taifa zicheze kwenye Nchi zao kwenye Mashindao ya Kimataifa
Sasa kuna Nchi kama Iraq na nyingine ni kwamba wamewahi kucheza Mechi nje ya Nchi yao.Sasa tusikariri,tujue na kuchambua

Jokes:
-Zanzibar hatuna viti,uwanja una Zege,sasa labda mtupiane viatu.Na ni rahisi sana kumjua mhalifu,ukiharibu tunakufuata

-Mashabiki Mje na Madem zenu kutoka Dar,la sivyo mtakuja Single na Kurudi Couple(Mke na Mume),ukikimbia unapigwa mshipa mwenyewe utarudi kuchukua Mkeo wa dharura

KARIBUNI SANA ZANZIBAR YOUNG AFRICA,
 
TFF watakosa mapato sijui kama watakubari
Itabidi wakubali
Maana mgao wa FIFA kwa Zanzibar wanakula wao,na kutupiga changa la macho
Leo hii Zanzibar Bingwa hakupewa Zawadi,maana alikuwa haya hajui anagombea nini,hahahaha
Na ligi imeanza,mpaka sasa Bingwa hajui atapewa nini
TFF wawe wapoleeeee,wasituletee kanuni Zao za ajabu
 
hawatoruhusiwa kutumia uwanja ulio nje ya mipaka ya Tanzania bara.... hiyo ni kanuni ya mashindano haya ya VPL sijui uongozi wa Yanga hawasomi hizi kanuni

wanatafuta sababu tu ya kutaka mgogoro na TFF wajifanye wsnaoanewa.

hizu timu nazo ni pasua kichwa yani kila siku ni kujisifu mara wa kimataifa mara tuna hela lakini hawana viwanja.

huu nao ni upuuzi mwingine.

nawasilisha
 
Daaaah yanga wana akili sana maa. Hapo mapato yote yanaenda znz,,tff imekula kwao n simba waende huko huko
 
Juhudi za Club ya simba na yanga ziongezwe katika ujenzi wa viwanja vyao binafsi. Hii ni sawa na aibu kwa club kongwe kama hizi
 
Hizi team za Simba na Yanga zinakaribia miaka 100 ila zinashindwa kuwa na viwanja vyao binafsi, aibu sana. Sasa zile hela za mapato malangoni, hela ya udhamini, hela za wanachama, hela biashara zinakwendaga Wapi?
Kazi yao kuibania Azam Fc, isicheze CC.
 
Ila kwa timu kongwe kama hizi zenye fans Base kubwa na zenye mvuto mkubwa Africa ni aibu sana kutokuwa na viwanja vyao binafsi.
Wapi umeona YANGA ina mvuto Africa? Au Unamaanisha AFRICA SANA?
 
Hizi team za Simba na Yanga zinakaribia miaka 100 ila zinashindwa kuwa na viwanja vyao binafsi, aibu sana. Sasa zile hela za mapato malangoni, hela ya udhamini, hela za wanachama, hela biashara zinakwendaga Wapi?


Orlando pirates & Kaiser Chiefs zina miaka kama ya Simba na Yanga.....

Jiulize zina viwanja vyao? Au unadhani kujenga kiwanja ni sawa na kujenga Choo?
 
Wee jamaa unafurahisha kweli, kwa vile Inter na Ac Milan hawana viwanja basi na team zetu ndio zisiwe na Viwanja? Ebu jiulize hayo mapato tangu miaka na miaka yanakwenda wapi. Kwanini tunapenda sana kushabikia vibaka kwenye nchi Hii!
we jamaa ebu tumiapo tuakili twako hata kusehemu tudogo...

Jamaa amekuambia kuwa kutokuwa na uwanja si jambo la ajabu sana... Akakutolea mfano wa timu zenye mapato makubwa Italy..... Inter & Milan.

We unataka pesa zitoke wapi za kujenga viwanja....... Unadhani kujenga uwanja ni sawa na kukanda maandazi?

Mapato ya mechi za simba na Yanga utazyakusanya kwa miaka mingapi ujenge kiwanja cha kubeba fans wa hizi timu.


Au vilabu hivi vina mapato gani ya maana nje ya gate collection?
 
kwanza Ac milan mwakani uwanja wao unakamilika capacity ya 48,000 wamejenga miaka miwili tuu kuanzia 2015 mpaka 2017 wanakabidhiwa ground lao umeongea vitu ambavyo haviusiani kabisa kabisa...


Unadhani kwa Umri wa Klabu hiyo ni sahihi kuwa na uwanja wake kipindi hiki?

Mantiki ya swali hili ni wamewahi au kuchelewa?

Ikiwa klabu Tajiri kama hizi zimetake years kumiliki vya kwao, unategemeaje Yanga na Simba kuwahi kuwa na viwanja kabla ya hivi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…