Mwiddy
Member
- Sep 30, 2016
- 23
- 50
Hapa tunajifunza mengi sana,Yanga imeanzishwa 1935,NI miaka zaidi ya 80 mpaka sasa lakini hawana kiwanja chao japo wana funbase(mashabiki) wengi.
Yanga wana wanachama zaidi ya mil 10 na mashabiki zaidi ya Mil 15 Tanzania nzima na nje ya Tanzania,Ambapo kila mwanachama angetoa sh elfu5 wangepata bilioni 50,Ambazo wangeweza kujenga kiwanja chao cha kisasa kuliko hata kile cha AZAM COMPLEX
Lkn cha kushangaza leo mwaka 2016 zaidi ya miaka 80 Yanga hawana kiwanja chao binaf wanaomba kwa serikali,pamoja na UTAJIRI wa washabiki walio nao wanashindwa kutumia fursa hyo,wanashindwa na AZAM ambayo haina hata miaka 10 kwenye game lkn sasa hivi wanamiliki KIWANJA BORA TANZANIA ukiacha uwanja wa Taifa,Pia wana GYM ya kisasa na hostel za kisasa za wachezaji.Manji alipotaka kuikodisha YANGA kwa malengo mazuri waswahili wakapiga kelele leo waswahili hao wanatembeza BAKULI kuomba uwanja.SHAME ON YOU NDALA
HII NI LAANA,japo juzi waliweka jiwe la msingi lkn waswahili ni waswahili tuu
Serikali iwape uwanja wa NANGWANDA SIJAONA WA MTWARA,wakaruke majoka huko.....bado kidogo ningesema sipendagi ujinga mimi
Trump aliwahi kusema there is no shortcut to maturity,wataz hatuwezi kujitawala