Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Wakati Mashabiki wa Simba wanajiuliza kua Chama na Miquissone kama wataondoka au watabaki na usajili upi ufanyike ili timu ifike nusu fainali au fainali ya CAF. Utopolo wapo busy kuuchambua uwekezaji wa MO na kuuona ni upigaji.
By the way kipindi ambacho Yanga wanafuraha ni kipindi hiki cha usajili acha wafurahi. Ligi ikianza ni malalamiko tu.
By the way kipindi ambacho Yanga wanafuraha ni kipindi hiki cha usajili acha wafurahi. Ligi ikianza ni malalamiko tu.