3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Ukitaka hata Kumthibitisha tofauti nyingine Kubwa iliyopo Chunguza kati ya Mashabiki wa Simba na wale wa Yanga nani ni Werevu ( Brainiacs ) sana na Wasomi ( Intellectuals ) hasa nchini Tanzania utagundua kuwa Simba SC ndiko kuna Werevu na Wasomi wengi, ila huko Kwingineko ( Yanga SC ) kumejaa tu Mangumbaru ( Wajinga ) na Mapopoma ( Wapumbavu ) watupu.
Hahahahhaha mkuu waache kwanza maana kombora zako hatari