Sikujua Kama Simba inaongozwa na mashabiki.Wakati Mashabiki wa Simba wanajiuliza kua Chama na Miquissone kama wataondoka au watabaki na usajili upi ufanyike ili timu ifike nusu fainali au fainali ya CAF. Utopolo wapo busy kuuchambua uwekezaji wa MO na kuuona ni upigaji.
By the way kipindi ambacho Yanga wanafuraha ni kipindi hiki cha usajili acha wafurahi. Ligi ikianza ni malalamiko tu.
Wanahangaika na Suala la Mchezaji Bernard Morrison huko CAS na sasa wamelipokea na hili la Mo Dewji na kuweka 20B Tsh yake Simba SC wakidhani yatawapoza Mashabiki wao ambao kwa mwaka huu wa Nne ( 4 ) wanapishana tu na Kombe la VPL na la ASFC pia.Wakati Mashabiki wa Simba wanajiuliza kua Chama na Miquissone kama wataondoka au watabaki na usajili upi ufanyike ili timu ifike nusu fainali au fainali ya CAF. Utopolo wapo busy kuuchambua uwekezaji wa MO na kuuona ni upigaji.
By the way kipindi ambacho Yanga wanafuraha ni kipindi hiki cha usajili acha wafurahi. Ligi ikianza ni malalamiko tu.
Genta kama Genta huwa hapindishi. Luc Eymal popote alipo apige beer aliona mbali kuhusu UtoWanahangaika na Suala la Mchezaji Bernard Morrison huko CAS na sasa wamelipokea na hili la Mo Dewji na kuweka 20B Tsh yake Simba SC wakidhani yatawapoza Mashabiki wao ambao kwa mwaka huu wa Nne ( 4 ) wanapishana tu na Kombe la VPL na la ASFC pia.
Mimi wana Yanga SC hata hawanipi taabu ( shida ) Mkuu kwani kama tu aliyekuwa Kocha wao Luc Eymael Raia wa nchini Ubelgiji ( Ubeleshi ) alisema ( hata katika YouTube ) ipo kuwa wana Yanga SC wengi ni Nyani, Mbwa na Sokwe Mimi na Wewe ni nani tupingane nae?
GENTAMYCINE na Lucy Eymael ni ndugu kabisa hawa, wala siwezi kuwatofautishaWanahangaika na Suala la Mchezaji Bernard Morrison huko CAS na sasa wamelipokea na hili la Mo Dewji na kuweka 20B Tsh yake Simba SC wakidhani yatawapoza Mashabiki wao ambao kwa mwaka huu wa Nne ( 4 ) wanapishana tu na Kombe la VPL na la ASFC pia.
Mimi wana Yanga SC hata hawanipi taabu ( shida ) Mkuu kwani kama tu aliyekuwa Kocha wao Luc Eymael Raia wa nchini Ubelgiji ( Ubeleshi ) alisema ( hata katika YouTube ) ipo kuwa wana Yanga SC wengi ni Nyani, Mbwa na Sokwe Mimi na Wewe ni nani tupingane nae?
Nyani ni nyani hata aigize kutembea kwa miguu miwili na kuvaa suti atabaki kuwa nyani tuWanahangaika na Suala la Mchezaji Bernard Morrison huko CAS na sasa wamelipokea na hili la Mo Dewji na kuweka 20B Tsh yake Simba SC wakidhani yatawapoza Mashabiki wao ambao kwa mwaka huu wa Nne ( 4 ) wanapishana tu na Kombe la VPL na la ASFC pia.
Mimi wana Yanga SC hata hawanipi taabu ( shida ) Mkuu kwani kama tu aliyekuwa Kocha wao Luc Eymael Raia wa nchini Ubelgiji ( Ubeleshi ) alisema ( hata katika YouTube ) ipo kuwa wana Yanga SC wengi ni Nyani, Mbwa na Sokwe Mimi na Wewe ni nani tupingane nae?
Ukitaka hata Kumthibitisha tofauti nyingine Kubwa iliyopo Chunguza kati ya Mashabiki wa Simba na wale wa Yanga nani ni Werevu ( Brainiacs ) sana na Wasomi ( Intellectuals ) hasa nchini Tanzania utagundua kuwa Simba SC ndiko kuna Werevu na Wasomi wengi, ila huko Kwingineko ( Yanga SC ) kumejaa tu Mangumbaru ( Wajinga ) na Mapopoma ( Wapumbavu ) watupu.Genta kama Genta huwa hapindishi. Luc Eymal popote alipo apige beer aliona mbali kuhusu Uto
Popoma katika harakati zakoUkitaka hata Kumthibitisha tofauti nyingine Kubwa iliyopo Chunguza kati ya Mashabiki wa Simba na wale wa Yanga nani ni Werevu ( Brainiacs ) sana na Wasomi ( Intellectuals ) hasa nchini Tanzania utagundua kuwa Simba SC ndiko kuna Werevu na Wasomi wengi, ila huko Kwingineko ( Yanga SC ) kumejaa tu Mangumbaru ( Wajinga ) na Mapopoma ( Wapumbavu ) watupu.
Kuntu kabisaViongozi wa yanga wako makini Sana na usajili wa safari hii , uwezi kubeba mijadala ya mashbiki kwenye mitandao ukaielekeza kwa viongozi, viongozi wanafanya kazi yao kwa umakini na kwa uweledi
Ushabiki mwingine bwana ni wa kipuuzi tu, Rage akukosea kuwaita lile jina maarufu ,awa wazee uwa wana maono ya mbali tusiwe tunawabeza kwakweliUkitaka hata Kumthibitisha tofauti nyingine Kubwa iliyopo Chunguza kati ya Mashabiki wa Simba na wale wa Yanga nani ni Werevu ( Brainiacs ) sana na Wasomi ( Intellectuals ) hasa nchini Tanzania utagundua kuwa Simba SC ndiko kuna Werevu na Wasomi wengi, ila huko Kwingineko ( Yanga SC ) kumejaa tu Mangumbaru ( Wajinga ) na Mapopoma ( Wapumbavu ) watupu.
Hata jana Mo aligusia Simba fans purchasing power yao ni kubwa haiwezekani muekezaji Mpunga sawa kana kwamba tunafanana kwa kila kituUkitaka hata Kumthibitisha tofauti nyingine Kubwa iliyopo Chunguza kati ya Mashabiki wa Simba na wale wa Yanga nani ni Werevu ( Brainiacs ) sana na Wasomi ( Intellectuals ) hasa nchini Tanzania utagundua kuwa Simba SC ndiko kuna Werevu na Wasomi wengi, ila huko Kwingineko ( Yanga SC ) kumejaa tu Mangumbaru ( Wajinga ) na Mapopoma ( Wapumbavu ) watupu.
Rage alituita Simba SC ni Mbumbumbu ila nyie Kocha wenu Mbelgiji Luc Eymael aliwaiteni Nyani, Mbwa na Sokwe je, Kwako Wewe hapo nani Katukanwa vibaya, Kaumia na Kadhalilishwa mno? Nasubiri jibu lako tafadhali...!!Ushabiki mwingine bwana ni wa kipuuzi tu, Rage akukosea kuwaita lile jina maarufu ,awa wazee uwa wana maono ya mbali tusiwe tunawabeza kwakweli
Luc kuwafananisha Yanga na nyani alikuwa sahihi kabisa.Ushabiki mwingine bwana ni wa kipuuzi tu, Rage akukosea kuwaita lile jina maarufu ,awa wazee uwa wana maono ya mbali tusiwe tunawabeza kwakweli
Wanahangaika na Suala la Mchezaji Bernard Morrison huko CAS na sasa wamelipokea na hili la Mo Dewji na kuweka 20B Tsh yake Simba SC wakidhani yatawapoza Mashabiki wao ambao kwa mwaka huu wa Nne ( 4 ) wanapishana tu na Kombe la VPL na la ASFC pia.