Yanga wapo busy kujadili uwekezaji wa MO halafu msimu ukianza wanaanza kulalamikia TFF

Hahahahhaha mkuu waache kwanza maana kombora zako hatari
 
Viongozi wa yanga wako makini Sana na usajili wa safari hii , uwezi kubeba mijadala ya mashbiki kwenye mitandao ukaielekeza kwa viongozi, viongozi wanafanya kazi yao kwa umakini na kwa uweledi

Rage alituita Simba SC ni Mbumbumbu ila nyie Kocha wenu Mbelgiji Luc Eymael aliwaiteni Nyani, Mbwa na Sokwe je, Kwako Wewe hapo nani Katukanwa vibaya, Kaumia na Kadhalilishwa mno? Nasubiri jibu lako tafadhali...!!
Nini maana ya neno mbumbumbu? Ukipata jibu lake utakuwa ushaelewa kwanini Mo anawapiga alafu anawaambia Anapata hasara kwenye timu kwa miaka 4 yote,
 
Leo pia saido kasema hivo hivo
 
Nini maana ya neno mbumbumbu? Ukipata jibu lake utakuwa ushaelewa kwanini Mo anawapiga alafu anawaambia Anapata hasara kwenye timu kwa miaka 4 yote,
Na Wewe nini maana ya Nyani, Mbwa na Sokwe ambayo wana Yanga SC wote mliambiwa hivyo na aliyekuwa Kocha wenu Mbelgiji Luc Eymael?
 
Zimewekwa wapo?
 
Viongozi wa yanga wako makini Sana na usajili wa safari hii , uwezi kubeba mijadala ya mashbiki kwenye mitandao ukaielekeza kwa viongozi, viongozi wanafanya kazi yao kwa umakini na kwa uweledi
Hao viongozi wa yanga walio makini ndo hawa akina mwakalebela na bumbuli,nugaz etc au ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…