Yanga wasajili mchezaji kutoka Wolves ya UK?

Yanga wasajili mchezaji kutoka Wolves ya UK?

Mleata uzi kwa nini unateseka Sana, shida nini, Timu ya Hilo ranked 17 ubora Afrika kwa nini uteseke na wa 69? Shida nini ? Timu Hilo group stages, kwa nini uteseke na wa ligi vpl Tena kibonde? Muda huu unautimia vibaya brother, badala ya kushauri namna ya kupambana kusonga mbele kila muda unawaza Yanga, shida nini. Mwishowe mtapigwa mitungo na wanaume huko alafu ukija hapa jukwaani utasema nini kwamba ranked 17 kapigwa mitungo na ranked 34 au 67? Hebu jitahidi kutoa ushauri kwa klabu yako ili angalau wavuke stage hii na ku advance mbele badala ya kila Mara kuanzisha mijadala isiyo na tija kwa klabu yako. Hebu punguza mahaba yakuua bure brother. Ujumbe huu ni kwa wote wanaopenda timu kupitiliza.
 
Sawa.....

Halafu kuweni Waungwana...mmeshaanza kusemwa VIBAYA...CAF watawamulika kwa karibu tu....

Japo ni tuhuma...ila haziachi afya njema....

1.Nisalimie yule refa wako wa Kitutsi aliyetoa ile penalty nje ya 18....
2.Nisalimie PAKA wenu mweusi...njooni naye kila mechi pale kwa Mkapa....
3.COVID 19 itakwisha tu....sijui mtakuja na visingizio vipi hiyo miaka 10 usemayo!!
Kuhusu hiyo penati ni maamuzi ya Simba kuhusu refa.

Kuhusu paka jamaa alipokamatwa na kuhojiwa na polisi alikiri alitumwa na kundi la yanga kuharibu taswira ya Simba .

Kuhusu Covid sijui inaingiaje hapa .
Inshort you are pointless
 
Acha kudanganya kwa kujiona una point nyingi....
Kwani soka linaongozwa kihisia zaidi ya sheria za FIFA?!!
Ni kweli maamuzi yale ni ya REFA...hatuwezi kubadili kitu...ila inashangaza kuufikiria msukumo wa REFA kutoa PENALTI nje ya 18 huku linesman wake akiwa karibu....na inashangaza hasa msukumo wa REFA kuikataa penalti ya wazi ya Platinum....

Endeleeni na fitna za nje ya uwanja tuyaone hayo mafanikio yenu ya miaka 10 ijayo aaamin......

Senzo alikamatwa kwa tuhuma za "ujanjaujanja" wenu nje ya uwanja....

Endeleeni kumnenepesha yule paka MWEUSI tumuone tena kwa MKAPA dhidi ya hao watatu.....
 
Mnapambana kwenda afrika halafu mnaogopa kiasi hiki,hopeless kab
Namkubali saaana Pitso Mosimane. Subirini muone kazi yake.

Mleata uzi kwa nini unateseka Sana, shida nini, Timu ya Hilo ranked 17 ubora Afrika kwa nini uteseke na wa 69? Shida nini ? Timu Hilo group stages, kwa nini uteseke na wa ligi vpl Tena kibonde? Muda huu unautimia vibaya brother, badala ya kushauri namna ya kupambana kusonga mbele kila muda unawaza Yanga, shida nini. Mwishowe mtapigwa mitungo na wanaume huko alafu ukija hapa jukwaani utasema nini kwamba ranked 17 kapigwa mitungo na ranked 34 au 67? Hebu jitahidi kutoa ushauri kwa klabu yako ili angalau wavuke stage hii na ku advance mbele badala ya kila Mara kuanzisha mijadala isiyo na tija kwa klabu yako. Hebu punguza mahaba yakuua bure brother. Ujumbe huu ni kwa wote wanaopenda timu kupitiliza.
kuweni na heshima na wakubwa zenu watoto wadogooooo
 
Yaani Ahly bingwa wa michuano hii unasema ni group tu Kama la mwaka juzi kwa taarifa yako hao mabingwa na AS Vita wameimarika maradufu.

Ni kweli wote walikuja hapa. Hii inakuwa hatari zaidi ya wageni Merreikh wasiojua fitna zenu koko muwako kwa Mkapa.

Pitso Mosimane ni fundi wa fitna haswaa.

Ni Namungo pekee waliowahi kupata point Sudan.

Nisalimie yule PAKA wenu MWEUSI!!
Unateseka Ukiwa Wapi ndugu?Uto!
 
Nikiwa Cairo nyumbani kwa Al Ahly mabingwa wa Afrika......

Mpe hai PAKA mweusi.....
kwa hiyo broo miaka mitano ijayo mnakusanya points za kufika top 20 ya CAF?kutoka point 1 hadi ngapi vile?kwi kwi kwi kwii kwioooo
 
Yaani Ahly bingwa wa michuano hii unasema ni group tu Kama la mwaka juzi kwa taarifa yako hao mabingwa na AS Vita wameimarika maradufu.

Ni kweli wote walikuja hapa. Hii inakuwa hatari zaidi ya wageni Merreikh wasiojua fitna zenu koko muwako kwa Mkapa.

Pitso Mosimane ni fundi wa fitna haswaa.

Ni Namungo pekee waliowahi kupata point Sudan.

Nisalimie yule PAKA wenu MWEUSI!!
hivi unakumbuka ile habari ya matisho mlituletea kuhusu PLATEAU mkasema safu yake ya ushambuliaji kabla ligi haijasimama kwa covid 19 iliukuwa imefikisha magoli 142 kati ya wachezaji 4? WHAT WENT WRONG????
Hao al ahly na As Vita nao wanaelewa kazi ngumu inayowakabili.
 
Sawa.....

Halafu kuweni Waungwana...mmeshaanza kusemwa VIBAYA. CAF watawamulika kwa karibu tu.

Japo ni tuhuma ila haziachi afya njema.

1. Nisalimie yule refa wako wa Kitutsi aliyetoa ile penalty nje ya 18.
2. Nisalimie PAKA wenu mweusi...njooni naye kila mechi pale kwa Mkapa.
3. COVID 19 itakwisha tu. Sijui mtakuja na visingizio vipi hiyo miaka 10 usemayo!
kusemwa vibaya?? Yaani CAF wasikilize upuuzi wa atletico la utopolo?
 
Tayari......

Ninawasubiri NINYI MIKIA....

Mikia njooni FAINALI na YULE PAKA WENU MWEUSI.....
 
kusemwa vibaya?? Yaani CAF wasikilize upuuzi wa atletico la utopolo?
CAF hawatosubiri kuambiwa na YANGA.....

Mambo peupeee.....si siri mbona?!!
Nakusubiri FAINALI YA MAPINDUZI....njooni na yule PAKA WENU MWEUSI.....
 
Tafuta wachawi wengine kama wewe milioni moja ndipotafanikiwa kuwatisha wana Simba kama unavyotaka kufanya

Back
Top Bottom