Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Nambamiza na kukusubiri wewe upite kwa mafundi wa kusini....Watoe kwanza azam uje kupiga kelele humu usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nambamiza na kukusubiri wewe upite kwa mafundi wa kusini....Watoe kwanza azam uje kupiga kelele humu usiku
Mwamuzi wa mechi zote hizo atakuwa yule Mtutsi wenu wa penati nje ya 18....hakika mtawafunga🤣🤣🤣Ahly tuliwafunga ,AS Vita tuliwafunga ,una lolote
👍👍Namkubali saaana Pitso Mosimane. Subirini muone kazi yake.
Kuhusu hiyo penati ni maamuzi ya Simba kuhusu refa.Sawa.....
Halafu kuweni Waungwana...mmeshaanza kusemwa VIBAYA...CAF watawamulika kwa karibu tu....
Japo ni tuhuma...ila haziachi afya njema....
1.Nisalimie yule refa wako wa Kitutsi aliyetoa ile penalty nje ya 18....
2.Nisalimie PAKA wenu mweusi...njooni naye kila mechi pale kwa Mkapa....
3.COVID 19 itakwisha tu....sijui mtakuja na visingizio vipi hiyo miaka 10 usemayo!!
Acha kudanganya kwa kujiona una point nyingi....Kuhusu hiyo penati ni maamuzi ya Simba kuhusu refa.
Kuhusu paka jamaa alipokamatwa na kuhojiwa na polisi alikiri alitumwa na kundi la yanga kuharibu taswira ya Simba .
Kuhusu Covid sijui inaingiaje hapa .
Inshort you are pointless
Namkubali saaana Pitso Mosimane. Subirini muone kazi yake.
kuweni na heshima na wakubwa zenu watoto wadogoooooMleata uzi kwa nini unateseka Sana, shida nini, Timu ya Hilo ranked 17 ubora Afrika kwa nini uteseke na wa 69? Shida nini ? Timu Hilo group stages, kwa nini uteseke na wa ligi vpl Tena kibonde? Muda huu unautimia vibaya brother, badala ya kushauri namna ya kupambana kusonga mbele kila muda unawaza Yanga, shida nini. Mwishowe mtapigwa mitungo na wanaume huko alafu ukija hapa jukwaani utasema nini kwamba ranked 17 kapigwa mitungo na ranked 34 au 67? Hebu jitahidi kutoa ushauri kwa klabu yako ili angalau wavuke stage hii na ku advance mbele badala ya kila Mara kuanzisha mijadala isiyo na tija kwa klabu yako. Hebu punguza mahaba yakuua bure brother. Ujumbe huu ni kwa wote wanaopenda timu kupitiliza.
Unateseka Ukiwa Wapi ndugu?Uto!Yaani Ahly bingwa wa michuano hii unasema ni group tu Kama la mwaka juzi kwa taarifa yako hao mabingwa na AS Vita wameimarika maradufu.
Ni kweli wote walikuja hapa. Hii inakuwa hatari zaidi ya wageni Merreikh wasiojua fitna zenu koko muwako kwa Mkapa.
Pitso Mosimane ni fundi wa fitna haswaa.
Ni Namungo pekee waliowahi kupata point Sudan.
Nisalimie yule PAKA wenu MWEUSI!!
Nikiwa Cairo nyumbani kwa Al Ahly mabingwa wa Afrika......Unateseka Ukiwa Wapi ndugu?Uto!
kwa hiyo broo miaka mitano ijayo mnakusanya points za kufika top 20 ya CAF?kutoka point 1 hadi ngapi vile?kwi kwi kwi kwii kwiooooNikiwa Cairo nyumbani kwa Al Ahly mabingwa wa Afrika......
Mpe hai PAKA mweusi.....
Mkuu utawaua depotivo de utoTraore kutoka kazurumimba kigoma
hivi unakumbuka ile habari ya matisho mlituletea kuhusu PLATEAU mkasema safu yake ya ushambuliaji kabla ligi haijasimama kwa covid 19 iliukuwa imefikisha magoli 142 kati ya wachezaji 4? WHAT WENT WRONG????Yaani Ahly bingwa wa michuano hii unasema ni group tu Kama la mwaka juzi kwa taarifa yako hao mabingwa na AS Vita wameimarika maradufu.
Ni kweli wote walikuja hapa. Hii inakuwa hatari zaidi ya wageni Merreikh wasiojua fitna zenu koko muwako kwa Mkapa.
Pitso Mosimane ni fundi wa fitna haswaa.
Ni Namungo pekee waliowahi kupata point Sudan.
Nisalimie yule PAKA wenu MWEUSI!!
kusemwa vibaya?? Yaani CAF wasikilize upuuzi wa atletico la utopolo?Sawa.....
Halafu kuweni Waungwana...mmeshaanza kusemwa VIBAYA. CAF watawamulika kwa karibu tu.
Japo ni tuhuma ila haziachi afya njema.
1. Nisalimie yule refa wako wa Kitutsi aliyetoa ile penalty nje ya 18.
2. Nisalimie PAKA wenu mweusi...njooni naye kila mechi pale kwa Mkapa.
3. COVID 19 itakwisha tu. Sijui mtakuja na visingizio vipi hiyo miaka 10 usemayo!
CAF hawatosubiri kuambiwa na YANGA.....kusemwa vibaya?? Yaani CAF wasikilize upuuzi wa atletico la utopolo?
Tutakupa kipigo cha mbwa koko utopoloTayari......
Ninawasubiri NINYI MIKIA....
Mikia njooni FAINALI na YULE PAKA WENU MWEUSI.....
Yaani Ahly bingwa wa michuano hii unasema ni group tu Kama la mwaka juzi kwa taarifa yako hao mabingwa na AS Vita wameimarika maradufu.
Ni kweli wote walikuja hapa. Hii inakuwa hatari zaidi ya wageni Merreikh wasiojua fitna zenu koko muwako kwa Mkapa.
Pitso Mosimane ni fundi wa fitna haswaa.
Ni Namungo pekee waliowahi kupata point Sudan.
Nisalimie yule PAKA wenu MWEUSI!!
Nitakuja nao 999,999 wakiongozwa na PAKA WENU MWEUSI.....Tafuta wachawi wengine kama wewe milioni moja ndipotafanikiwa kuwatisha wana Simba kama unavyotaka kufanya
Mlisema hatupiti kwa AZAM...tumeingia fainali....Tutakupa kipigo cha mbwa koko utopolo