Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Si kweli. GSM foundation ndiyo waliotoa zile bilion 10. Sasa iweje tena wote milion 100 nyingine kwa mgongo wa Yanga?Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kutoa ufafanuzi kwa Umma, kuhusu mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), siku ya tarehe 12/08/2025.
Mchango ule ulitolewa na Taasisi ya GSM Foundation iliyo chini ya mdhamini na Mfadhili wa Klabu yetu, Ghalib Said Mohammed na sio kupitia hela za Wanachama au kutoka kwenye mfuko wa Klabu, kupitia vyanzo mbalimbali vya mapato.
GSM Foundation imekuwa ikishirikiana na Klabu ya Yanga, kwa kipindi cha miaka mitatu kutoa fedha na misaada kwa jamii na makundi mbalimbali ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuomba radhi kwa Wanachama, Mashabiki na wapenzi wa mpira wa miguu kwa usumbufu wowote uliojitokeza kupitia sintofahamu hii.
Usiwe kama rofa usichokijua uwe unauliza,,GSM foundation ni taasisi inayojitegemea ambayo Ina fungu lake kwa ajili ya misaada mbalimbali,Si kweli. GSM foundation ndiyo waliotoa zile bilion 10. Sasa iweje tena wote milion 100 nyingine kwa mgongo wa Yanga?
Hayana kumbukumbu,🤣🤣🤣Si kweli. GSM foundation ndiyo waliotoa zile bilion 10. Sasa iweje tena wote milion 100 nyingine kwa mgongo wa Yanga?
Acha mambo ya 1920's hayo ni mambo ya zamani sana hii ni Karne nyingineYaani kwa ufafanuzi uo, Mbumbumbu wote Wana changanyikiwa.
Watu wanasahau kuanzia TAA mpaka TANU waanzilishi wa ivyo vyama ni Yanga zamani Young Boys/Wananchi kwakua Mwingereza hakutaka vyama vya siasa apa Tanganyika.
Yanga ndio baba wa ivyo vyama vya siasa kwakua wakati wa mkoloni siasa/ Mbinu za kumuondoa mkoloni zilifanyika kwenye klabu za Mpira
Young Boys/ Jangwani FC/ Yanga ilikuwepo tangu 1920 ikichagiza uhuru wa Nchi hii.
Fedha zilizo patikana katika mechi mbali mbali za Yanga zilitumika kuchangia TAA/ TANU kuji imarisha kisiasa.
Mbumbumbu ni wewe unayejidhihirisha hapa.Yaani kwa ufafanuzi uo, Mbumbumbu wote Wana changanyikiwa.
Watu wanasahau kuanzia TAA mpaka TANU waanzilishi wa ivyo vyama ni Yanga zamani Young Boys/Wananchi kwakua Mwingereza hakutaka vyama vya siasa apa Tanganyika.
Yanga ndio baba wa ivyo vyama vya siasa kwakua wakati wa mkoloni siasa/ Mbinu za kumuondoa mkoloni zilifanyika kwenye klabu za Mpira
Young Boys/ Jangwani FC/ Yanga ilikuwepo tangu 1920 ikichagiza uhuru wa Nchi hii.
Fedha zilizo patikana katika mechi mbali mbali za Yanga zilitumika kuchangia TAA/ TANU kuji imarisha kisiasa.
Ata kama ni mambo ya Zamani uo ndio ukweli kama ume ku udhi izo ni shida zako.Acha mambo ya 1920's hayo ni mambo ya zamani sana hii ni Karne nyingine
Kwahiyo GSM katoa bil 10 alafu GSM FOUNDATION kupitia yanga katoa m 100? Mtajua Hamjui Mnachanganya Siasa na MpiraUsiwe kama rofa usichokijua uwe unauliza,,GSM foundation ni taasisi inayojitegemea ambayo Ina fungu lake kwa ajili ya misaada mbalimbali,
Kampuni ya GSM ndio iliyotoa bilioni 10 na sio GSM foundation usiwe unachanganya mambo soma taarifa kwa umakini usikurupuke!
Zamani ilikuwa ni chama kimoja, vipi sasa?!Yaani kwa ufafanuzi uo, Mbumbumbu wote Wana changanyikiwa.