Yanga wasema mchango wa Milioni 100 kwa CCM ulitolewa na GSM Foundation, Sio Fedha za Klabu

Screenshot_20250813_161953_Instagram.jpg
 
Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kutoa ufafanuzi kwa Umma, kuhusu mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), siku ya tarehe 12/08/2025.

Mchango ule ulitolewa na Taasisi ya GSM Foundation iliyo chini ya mdhamini na Mfadhili wa Klabu yetu, Ghalib Said Mohammed na sio kupitia hela za Wanachama au kutoka kwenye mfuko wa Klabu, kupitia vyanzo mbalimbali vya mapato.

GSM Foundation imekuwa ikishirikiana na Klabu ya Yanga, kwa kipindi cha miaka mitatu kutoa fedha na misaada kwa jamii na makundi mbalimbali ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Soma Pia: Klabu ya Yanga imechagia milion 100 CCM gala dinner 2025

Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuomba radhi kwa Wanachama, Mashabiki na wapenzi wa mpira wa miguu kwa usumbufu wowote uliojitokeza kupitia sintofahamu hii.

View attachment 3441344
Ogopa Mungu na Teknolojia
 
Tangazo limechelewa! Kuna watu wameshachana kadi za uanachama wa Yanga.
 
Barua na maneno who is right
View attachment 3441421
Na ukumbuke 'Rais wa Yanga ndio nembo ya klabu. Hivyo alichosema Rais ndio sahihi, hio barua ni porojo za kutaka kupunguza shinikizo lililopo kuona wamechukua hatua.

Hata msemaji wa Yanga, nafikiri kuna fyuzi zimepiga shoti kichwani. Yani ndio alikuwa wa kwanza kutetea huo upumbavu badala ya kukaa kimya.
 
Ali kamwe ameumbuka. Hakujipanga zaidi ya janja janja
Hana akili huyu bwana mdogo. Anakurupuka sana bila kutafakari. Anahisi kila kinachofanywa na bosi lazima alambe lambe. Shibamiit!
 
Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kutoa ufafanuzi kwa Umma, kuhusu mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), siku ya tarehe 12/08/2025.

Mchango ule ulitolewa na Taasisi ya GSM Foundation iliyo chini ya mdhamini na Mfadhili wa Klabu yetu, Ghalib Said Mohammed na sio kupitia hela za Wanachama au kutoka kwenye mfuko wa Klabu, kupitia vyanzo mbalimbali vya mapato.

GSM Foundation imekuwa ikishirikiana na Klabu ya Yanga, kwa kipindi cha miaka mitatu kutoa fedha na misaada kwa jamii na makundi mbalimbali ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Soma Pia: Klabu ya Yanga imechagia milion 100 CCM gala dinner 2025

Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuomba radhi kwa Wanachama, Mashabiki na wapenzi wa mpira wa miguu kwa usumbufu wowote uliojitokeza kupitia sintofahamu hii.

View attachment 3441344

Nanukuu
“Mh. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, na viongozi kwenye meza kuu, kwa niaba ya taasisi mbili ambazo zote zinanihusu: moja ni GSM Group. Tunae Mr.Gharibu, Founder wa kampuni hii. Baada ya kupokea mualiko wa Gala Dinner ya CCM 2025, taasisi yetu ya GSM ikaona ni muhimu kuunga mkono jitihada zako na Chama cha Mapinduzi.

Na kwa muktadha huo, taasisi hii imeshaweka kwenye akaunti ya Chama cha Mapinduzi kiasi cha shilingi bilioni 10 za Kitanzania. Mheshimiwa Mwenyekiti, shilingi bilioni 10 zimeshaingia katika akaunti ya Chama cha Mapinduzi wakati huo, tukiwa tunashiriki katika jitihada za kuipata bilioni 10, klabu ya Young Africans nayo ikapenya hapohapo, na yenyewe itatoa kiasi cha shilingi milioni 100. Asante sana.”
​
Eng. Hersi Said, rais wa klabu ya Young Africa alipokuwa akitoa michango kwenye CCM 2025 Gala Dinner (Mlimani City, 12 Agosti 2025)

View: https://youtu.be/-2TZqZ-yI-8?si=a2BrLx--IoYeUcrs​
 
Usiwe kama rofa usichokijua uwe unauliza,,GSM foundation ni taasisi inayojitegemea ambayo Ina fungu lake kwa ajili ya misaada mbalimbali,
Kampuni ya GSM ndio iliyotoa bilioni 10 na sio GSM foundation usiwe unachanganya mambo soma taarifa kwa umakini usikurupuke!
Umesikia vizuri raisi wenu alichosema? Au unamwekea maneno kwa mdomo?
 
Usiwe kama rofa usichokijua uwe unauliza,,GSM foundation ni taasisi inayojitegemea ambayo Ina fungu lake kwa ajili ya misaada mbalimbali,
Kampuni ya GSM ndio iliyotoa bilioni 10 na sio GSM foundation usiwe unachanganya mambo soma taarifa kwa umakini usikurupuke!
Umesikia vizuti raisi wenu alichosema? Au unamwekea maneno kwa mdomo?
 
Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kutoa ufafanuzi kwa Umma, kuhusu mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), siku ya tarehe 12/08/2025.

Mchango ule ulitolewa na Taasisi ya GSM Foundation iliyo chini ya mdhamini na Mfadhili wa Klabu yetu, Ghalib Said Mohammed na sio kupitia hela za Wanachama au kutoka kwenye mfuko wa Klabu, kupitia vyanzo mbalimbali vya mapato.

GSM Foundation imekuwa ikishirikiana na Klabu ya Yanga, kwa kipindi cha miaka mitatu kutoa fedha na misaada kwa jamii na makundi mbalimbali ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Soma Pia: Klabu ya Yanga imechagia milion 100 CCM gala dinner 2025

Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuomba radhi kwa Wanachama, Mashabiki na wapenzi wa mpira wa miguu kwa usumbufu wowote uliojitokeza kupitia sintofahamu hii.

View attachment 3441344
Ukweli na Uongo havikai pamoja, wana Yanga fumbueni Macho mnaibiwa na WAHUNI.
 
Hapa sasa ndio wakati wa kujua kiwa pale yanga ni kweli wenye akili timamu ni wawili tu, ama kuna wengine wasiojulikana? 🤣😂
 
Wameona imekuwa ajenda ya baadhi ya wapuuzi kufanya kichaka cha kujifichia na kujifariji wametoa ufafanuzi makini usiokuwa na maswali wala mbambamba👇
Wanajitahidi kweli kutafuta vichaka lakini vinafyekwa
 
Yaani kwa ufafanuzi uo, Mbumbumbu wote Wana changanyikiwa.
Watu wanasahau kuanzia TAA mpaka TANU waanzilishi wa ivyo vyama ni Yanga zamani Young Boys/Wananchi kwakua Mwingereza hakutaka vyama vya siasa apa Tanganyika.
Yanga ndio baba wa ivyo vyama vya siasa kwakua wakati wa mkoloni siasa/ Mbinu za kumuondoa mkoloni zilifanyika kwenye klabu za Mpira

Young Boys/ Jangwani FC/ Yanga ilikuwepo tangu 1920 ikichagiza uhuru wa Nchi hii.
Fedha zilizo patikana katika mechi mbali mbali za Yanga zilitumika kuchangia TAA/ TANU kuji imarisha kisiasa.
Ficha ujinga wako!
 
Back
Top Bottom