Yanga wasema mchango wa Milioni 100 kwa CCM ulitolewa na GSM Foundation, Sio Fedha za Klabu

Haya vyura sasa watatulia na makelele yao dimbwini, halafu tembo atakunywa maji mustarehe......
 
Ali kamwe ameumbuka. Hakujipanga zaidi ya janja janja
 
Wenye akili ni wawili tuu....
 
Mkuu mimi nakwambia yanga kuna uozo kuliko simba sema wanajificha kwenye kivuli cha kuifunga simba na kubeba NBC premier league kwanza kitengo chao cha sheria ni professional rubbish.
 
Bado hawajasema hii harambe hadi itoe mtu damu
 
Zamani ilikuwa ni chama kimoja, vipi sasa?!
Acha utetezi wa 'Kindezi'. Kama timu imeona ije na barua hiyo tafsiri wameona wapi walipojikwaa na sio kujitekenya kama ufanyavyo.
Hawezi kukuelewa yaani leo hii uende msikitini useme yanga wametoa million 100 bila kuwapa na Christian wakati unajua team hzi zina wafuasi tofauti.
 
Huo ni Ujinga tu wakina Hersi ndio umepelekea vitu unprofessional kama ivo kutokea aisee,
Wanataka Kuingiza hio club kwenye politics ambazo ni vitu vya Ovyo kabisa
Wajue hata Chauma wapo mashabiki wao
 
Too late. ..the damage has already be done. Clips ziko. Za injinia wa mchongo akiongea.
 
Barua na maneno who is right
Your browser is not able to display this video.
 
Mabwabwa bn mfyuuu ko leo wanakanusha tena ndo maana hatasemaji lao lilipigwa ban na caf kuingia au bas
 
Pumbaf, kimewaramba. Mmezidi kujipendekeza subirini rungu la fifa mbwa nyie
 
Ukiona hadi wametoa ufafanuzi ujue wameona kabisa Raia wao hawajaridhishwa na kitendo walichofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…