Yanga wasema mchango wa Milioni 100 kwa CCM ulitolewa na GSM Foundation, Sio Fedha za Klabu

Ogopa Mungu na Teknolojia
 
Tangazo limechelewa! Kuna watu wameshachana kadi za uanachama wa Yanga.
 
Barua na maneno who is right
View attachment 3441421
Na ukumbuke 'Rais wa Yanga ndio nembo ya klabu. Hivyo alichosema Rais ndio sahihi, hio barua ni porojo za kutaka kupunguza shinikizo lililopo kuona wamechukua hatua.

Hata msemaji wa Yanga, nafikiri kuna fyuzi zimepiga shoti kichwani. Yani ndio alikuwa wa kwanza kutetea huo upumbavu badala ya kukaa kimya.
 
Ali kamwe ameumbuka. Hakujipanga zaidi ya janja janja
Hana akili huyu bwana mdogo. Anakurupuka sana bila kutafakari. Anahisi kila kinachofanywa na bosi lazima alambe lambe. Shibamiit!
 

Nanukuu
Eng. Hersi Said, rais wa klabu ya Young Africa alipokuwa akitoa michango kwenye CCM 2025 Gala Dinner (Mlimani City, 12 Agosti 2025)


View: https://youtu.be/-2TZqZ-yI-8?si=a2BrLx--IoYeUcrs​
 
Umesikia vizuri raisi wenu alichosema? Au unamwekea maneno kwa mdomo?
 
Umesikia vizuti raisi wenu alichosema? Au unamwekea maneno kwa mdomo?
 
Ukweli na Uongo havikai pamoja, wana Yanga fumbueni Macho mnaibiwa na WAHUNI.
 
Wanaanza Kurukana Sasa Yanga Ni CCM, Bishaa
 
Tulisha Sema Ilo litimu Linaongozwa na Matahila
 
Hapa sasa ndio wakati wa kujua kiwa pale yanga ni kweli wenye akili timamu ni wawili tu, ama kuna wengine wasiojulikana? 🤣😂
 
Wameona imekuwa ajenda ya baadhi ya wapuuzi kufanya kichaka cha kujifichia na kujifariji wametoa ufafanuzi makini usiokuwa na maswali wala mbambamba👇
Wanajitahidi kweli kutafuta vichaka lakini vinafyekwa
 
Ficha ujinga wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…