Ndio shida yetu mashabiki wa Yanga. Hata tunavyoitwa hatuna akili huwa tunaakisi kweli msomo huo. Si swala la kushinda ngapi bali ni swala la kufuzuLeo mmeshinda mangapi?
Hilo bado haliondoi ukweli kuwa Yanga tumekuwa wazembe kuumaliza mchezo. Unataka upate goli halafu unacheza mipira ya back pass kibao. Unataka upate goli huku mnapoenda kushambulia idadi ya watu kwenye eneo la lango la mpinzani ni wawili tu unapataje goli!Mpira umechezwa dk 70 tu, Jamaa Wana anguka kama wagonjwa, gari la wagonjwa linachukua zaidi ya dk2 Refa kama amekodiashwa, yaani mchezaji ataki kuinuka yeye ana mbembwleza.
Huyu ni moja ya shabiki ya Yanga anaejielewa hapa Jf maranyingi anaongea ukweliTukubali, tukatae lakini ukweli ni kwamba katika msimu ambao Yanga wamepata washindani wepesi basi ni msimu huu. Yaani timu ambayo ilikuwa inaogopwa kwa idadi kubwa ya watu ni Al Hilal lakini navhokiona ni timu ya kawaida sana na nina uhakika hawa Al Hilal wangekuwa wamepangiwa na Simba wangelala mechi mbili tena kwa magoli mengi tu. Yanga kwenye michuano ya kimataifa bado sana kwakweli
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Huyo mwenzako mgonjwa fungu alilochagua baya sanaNdio shida yetu mashabiki wa Yanga. Hata tunavyoitwa hatuna akili huwa tunaakisi kweli msomo huo. Si swala la kushinda ngapi bali ni swala la kufuzu
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Nendeni CAS pelekeni malalamiko yenuMpira umechezwa dk 70 tu, Jamaa Wana anguka kama wagonjwa, gari la wagonjwa linachukua zaidi ya dk2 Refa kama amekodiashwa, yaani mchezaji ataki kuinuka yeye ana mbembwleza.
Hizo Ni tacticsMpira umechezwa dk 70 tu, Jamaa Wana anguka kama wagonjwa, gari la wagonjwa linachukua zaidi ya dk2 Refa kama amekodiashwa, yaani mchezaji ataki kuinuka yeye ana mbembwleza.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2]utasema yote Leo Ila mmefungwaaa!!!mmetolewa na mnapenda shirikisho hata km mmecheza dkk 20Mpira umechezwa dk 70 tu, Jamaa Wana anguka kama wagonjwa, gari la wagonjwa linachukua zaidi ya dk2 Refa kama amekodiashwa, yaani mchezaji ataki kuinuka yeye ana mbembwleza.
Hahaha..UF na huku upo?Yanga makopo yanga makopo simba imara simba imara milele simba itakuwa jui yanga ni sifuri
Huyo mwenzako si amedai mngeshinda magoli mengi mngechaza na Al Hilal?Ndio shida yetu mashabiki wa Yanga. Hata tunavyoitwa hatuna akili huwa tunaakisi kweli msomo huo. Si swala la kushinda ngapi bali ni swala la kufuzu
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Mbona Dk 70 nyingi? Hamkuweza kuzitumia hizo Dk 70 kupata kamoja ili mpigiane matuta mkuu?Mpira umechezwa dk 70 tu, Jamaa Wana anguka kama wagonjwa, gari la wagonjwa linachukua zaidi ya dk2 Refa kama amekodiashwa, yaani mchezaji ataki kuinuka yeye ana mbembwleza.
Wakiacha kushinda kwa bahasha za kaki watafanikiwa baadaye.Uchawi hauvuki border[emoji23]