changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Tukubali, tukatae lakini ukweli ni kwamba katika msimu ambao Yanga wamepata washindani wepesi basi ni msimu huu.
Yaani timu ambayo ilikuwa inaogopwa kwa idadi kubwa ya watu ni Al Hilal lakini nachokiona ni timu ya kawaida sana na nina uhakika hawa Al Hilal wangekuwa wamepangiwa na Simba wangelala mechi mbili tena kwa magoli mengi tu.
Yanga kwenye michuano ya kimataifa bado sana kwakweli
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app