Yanga wasipofuzu leo basi itawachukua zaidi ya misimu mitatu mbele

Yanga wasipofuzu leo basi itawachukua zaidi ya misimu mitatu mbele

changaule

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
6,039
Reaction score
10,151
Tukubali, tukatae lakini ukweli ni kwamba katika msimu ambao Yanga wamepata washindani wepesi basi ni msimu huu.

Yaani timu ambayo ilikuwa inaogopwa kwa idadi kubwa ya watu ni Al Hilal lakini nachokiona ni timu ya kawaida sana na nina uhakika hawa Al Hilal wangekuwa wamepangiwa na Simba wangelala mechi mbili tena kwa magoli mengi tu.

Yanga kwenye michuano ya kimataifa bado sana kwakweli

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mpira umechezwa dk 70 tu, Jamaa Wana anguka kama wagonjwa, gari la wagonjwa linachukua zaidi ya dk2 Refa kama amekodiashwa, yaani mchezaji ataki kuinuka yeye ana mbembwleza.
 
Mpira umechezwa dk 70 tu, Jamaa Wana anguka kama wagonjwa, gari la wagonjwa linachukua zaidi ya dk2 Refa kama amekodiashwa, yaani mchezaji ataki kuinuka yeye ana mbembwleza.
Hilo bado haliondoi ukweli kuwa Yanga tumekuwa wazembe kuumaliza mchezo. Unataka upate goli halafu unacheza mipira ya back pass kibao. Unataka upate goli huku mnapoenda kushambulia idadi ya watu kwenye eneo la lango la mpinzani ni wawili tu unapataje goli!
Yanga ingepata goli hayo yote yasingetokea ya upotevu wa muda
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Tukubali, tukatae lakini ukweli ni kwamba katika msimu ambao Yanga wamepata washindani wepesi basi ni msimu huu. Yaani timu ambayo ilikuwa inaogopwa kwa idadi kubwa ya watu ni Al Hilal lakini navhokiona ni timu ya kawaida sana na nina uhakika hawa Al Hilal wangekuwa wamepangiwa na Simba wangelala mechi mbili tena kwa magoli mengi tu. Yanga kwenye michuano ya kimataifa bado sana kwakweli

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Huyu ni moja ya shabiki ya Yanga anaejielewa hapa Jf maranyingi anaongea ukweli

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Mpira umechezwa dk 70 tu, Jamaa Wana anguka kama wagonjwa, gari la wagonjwa linachukua zaidi ya dk2 Refa kama amekodiashwa, yaani mchezaji ataki kuinuka yeye ana mbembwleza.
Hizo Ni tactics
 
Mpira umechezwa dk 70 tu, Jamaa Wana anguka kama wagonjwa, gari la wagonjwa linachukua zaidi ya dk2 Refa kama amekodiashwa, yaani mchezaji ataki kuinuka yeye ana mbembwleza.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2]utasema yote Leo Ila mmefungwaaa!!!mmetolewa na mnapenda shirikisho hata km mmecheza dkk 20
In short ninyi ni Bure kwenye soka la kimataifa ni wahapa hapa plus vibahasha mkiacha vibahasha Kwa marefa ndo Mungu atawaangazia Sasa hivi your enjoying the taste of your own medicine brooohh!!!
[emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nilitaka kuuliza...iv zile frequenc za radio 0.5 zitauwa zimeathiriwa na hii mechi?
 
Al Hilal ni dhaifu ila pongezi zote ziende Kwa refa yeye pasina shaka ni Nyota wa mchezo.Tukutane tare 23.
 
Back
Top Bottom