Yanga wataweka Rekodi mwaka huu ya kuingia Nusu Fainali ya Klabu Bingwa

Ndugu yangu Mimi ni mfatiliaji mzuri wa mpira
Nataka ni kuakikishie kuwa ikiwa yanga watakwenda na mpira wao huu wa kushambulia zaidi sio ugenini wala nyumbani
Kuna timu kubwa watapigwa nje
Mjomba jua tu hii ni klabu bingwa,na ukipigwa huku hakuna kwenďa shirikisho,kila timu inalijua hilo na imejiandaa vyema,sio preliminaries hizo mlizoshinda goli nyingi nyingi,vitu sio rahisi hivyo
 
Kujiamini inategemea na opponent unayekutana naye
 
Kujiamini inategemea na opponent unayekutana naye

Baba kujiamini hakunaga na opponent
Wewe ukijiamini hata Kama umekutana na Real Madrid final ya club bingwa ukiamini unaweza kumtoa sio ajabu ukamtoa
Unajua timu nyingi kubwa Zina win timu ndogo kwa kuwaogopesha tu lakini ukikaza na kupambana unaweza kumtoa pia
Mara ngapi Tumeoana timu ndogo zikitoa timu kubwa kwenye mashindano
 
Yaani Yanga acheze na Wydad Casablanca unategeme atacheza kama alivyocheza na ASAS Djibout mkuu???
Huko ni kujipa matumaini pasipo na matumaini
 
Kila la heri kwa Wananchi. Uwezo wanao wa kufanya hivyo. Muhimu wachezaji waamue tu kujitoa kuipigania timu yao.
 
Yaani Yanga acheze na Wydad Casablanca unategeme atacheza kama alivyocheza na ASAS Djibout mkuu???
Huko ni kujipa matumaini pasipo na matumaini

Kwanza katika timu dhaifu ambazo Mimi naamini wahawana mpira wa kutisha basi ni wydad
Simba wangewatoa wale but walishindwa kwasababu walikosa Imani wao waliamini ni vigumu kupambana na wydad kwao ndo maana walitoka na 0 shoot on taget Yaani walicheza mpira wa kupaki zaidi wakashindwa kushambulia
 
Kwa hiyo kmc na hao wengine mliowagonga 5 walo level moja na casanblanca???
 
Ali Kamwe amesema malengo ya Klabu ni kufika hatua ya makundi.

Haya ya kufika Nusu fainali yanatokea wapi tena??
Umewahi kumiliki akili?, Kwahiyo ukiweka malengo huwezi kuyafikia na kuyavuka? Au unawaza kula mbwa tu?.
 
Umewahi kumiliki akili?, Kwahiyo ukiweka malengo huwezi kuyafikia na kuyavuka? Au unawaza kula mbwa tu?.
Ili uvuke hayo malengo si lazima kwanza uyafikie??

Sasa ukiwa na akili utaanza kuwaza nusu fainali kabla hata hatua ya makundi hujaifikia??
 
Malengo hayachezi unaweza weka malengo na usitoboe cha msingi performance uwanjani basi
 
Ili uvuke hayo malengo si lazima kwanza uyafikie??

Sasa ukiwa na akili utaanza kuwaza nusu fainali kabla hata hatua ya makundi hujaifikia??
Malengo sio kigezo basi Marumo walikua na malengo ya kushuka daraja PSL na kufika nusu fainali CAF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…