Yanga wataweka Rekodi mwaka huu ya kuingia Nusu Fainali ya Klabu Bingwa

Wewe ulikwenda shirikisho ukaishia robo Kama kawaida yako Alafu unataka kubishana na mtu ambaye amefika final kabisa ya shirikisho ambayo simba waliwasha moto lakini hakuna walicho kiweza
Sasa kwa team za mwaka jana, hata sisi tungeangukia kule mbna tungechukua na kombe kabisaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli muda upoo na ntakuuliza, na huwa sisahau, kuna mwenzako had akawa anaomba modes waniban jumla JF.

ntakurudia wakati husika.

Mimi sijawahi kubatisha kwenye maswala ya mpira Mimi si tumii ushabiki kutetea ninacho kipenda
Ukiona nimekuambia kuna timu kubwa hapa hapa barani afrika kwa uchezaji wa yanga watapigwa nje ndani ujue nimetathimini uchezaji wao na namna gani wanacheza pale wanapo kutana na timu ndogo au timu ambazo wao wanafikiri sio level zao
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi sawa, tusubiri.
 
Sasa kwa team za mwaka jana, hata sisi tungeangukia kule mbna tungechukua na kombe kabisaa.

[emoji23][emoji81][emoji28] kwanza mwaka jana ndo kulikuwa timu ngumu kuliko ule mwaka wenu

Bingwa wa msimu wenu nyinyi alitolewa na us monastir

Pyramin alishika nafasi ya pili katika league ya misri na akatolewa na marumo

as far ni bingwa wa league ya Morocco ambayo kuna wydad, raja na wengine

Utasemaje eti timu dhaifu
 
Mkuu umemaliza labda kama ana lake jambo umempa jibu swafii kabisa
 
Jitu puuuzi likiandika vitu vya kipuuuz
 
Mungu ajalie...Tanzania ni moja
 
Sawa Mungu wa uyole
 
Tumetunza hii comment Leo tumerudi kukuuliza Kiko wapi?
 
Nusu fainali sahau na kwa mpira huu wa matamasha wanaocheza wakiucheza Champions League amini nakwambia watapasuliwa vibaya pengine hata robo wasiifikie
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Weekend hii tumeshuhudia mitanange minne ya robo fainali mzunguko wa kwanza wa kilabu bigwa Africa,Simba ndo timu pekee iliyoruhuzu goli, na goli hilo ndo limekiwa la ushindi Kwa Alahyl na Alahyl katanguliza mguu mmoja nusu fainali ,mechi zingine tatu matokeo yake ni

Tp mazembe 0 - Petro Luanda 0
Yanga Sc 0 - mamelodi sunddowns 0
Esperance0- Asec memosas 0
Na matokeo haya matatu Bado hayajatoa nani hasa ataenda hatua inayofuata ukizingatia drop zilizopatikana ni tasa hivo hata timu mgeni wa mzunguko wa pili ananafasi nzuri ya kusonga mbele.

Kwa matokea haya Simba ajifunze kucheza mechi za mtoano na waache kwenda na matokeo a mfukoni.
 
Simba Kama viongozi wao tu wanashangilia ball possession ya kuchezea kwenye zone yao unafikiri watawezaje kuvuka hatua inayofata? Awajui hizi mechi zinachezwa kwa akili maana ni za mtoano sio group stage hii, hatua hizi ni mbinu zinatumika ukiziendea kucheza Kama unacheza ligi kuu ndo ivyo utakuwa mwakarobo mpaka MBINGU zifunguke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…