Yanga waufanyia kazi uzi wa Likud. Lakini.....

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Nili andika juzi kuwa, katika ulimwengu wa roho, mchezaji ANAE beba nyota ya mafanikio ya Yanga ndani ya uwanja ni Jesus Moloko na kwamba Moloko anatakiwa kuwa treated from that aspect.

Naona leo Moloko ametangulizwa kuingia uwanjani.

Hii ni ishara nzuri sana , lakini Mzee wangu. "Nzee" Jabir wa Ilala, vijana wako hawaja elewa maelekezo vizuri.

Nilisema Kisinda hatakiwi kabisa kucheza. Katika ulimwengu wa rohoni nyota ya Tuisila inachafua mafanikio ya Yanga ndani ya uwanja.

Tukishinda leo ni Mungu mwenyewe ametaka na sio kwa " nguvu" zetu.

Insha'Allah
 
Utowizard kwenye ubora wenu bila shirki na kayoko mlikuwa mfe leo
 
Na jamaa wakipata sare Wana kelele kupita kiasi, yaani ni shida kwelikweli.
 
Kisinda Ndiye mchezaji aliyepata mipira mingi na kuipoteza bila Sababu.
Leo amechezea jina tu. Nadhani anahitaji utulivu na msaada wa hali ya juu sana wa kisaikolojia, ili arejee katika kiwango chake cha awali.
 
Msiwe wabishi nyie kubalini HOJA yangu tu wakuu Kisinda anaichafua nyota ya Yanga. Hatakiwi kukaa hata benchi na kama.ataendelea KUWEPO BASI Yanga wasahau kuhusu ubingwa mwaka huu.

Ishu sio kiwango , ishu ni nyota.

Yanga wamefanyia kazi uzi wangu Moloko ameanza kuingia uwanjani . Vinginevyo Yanga wangepigwa
 
Nili andika juzi kuwa, katika ulimwengu wa roho, mchezaji ANAE beba nyota ya mafanikio ya Yanga ndani ya uwanja ni Jesus Moloko na kwamba Moloko anatakiwa kuwa treated from that aspect.

Naona leo Moloko ametangulizwa kuingia uwanjani.

Hii ni ishara nzuri sana , lakini Mzee wangu. "Nzee" Jabir wa Ilala, vijana wako hawaja elewa maelekezo vizuri.

Nilisema Kisinda hatakiwi kabisa kucheza. Katika ulimwengu wa rohoni nyota ya Tuisila inachafua mafanikio ya Yanga ndani ya uwanja.

Tukishinda leo ni Mungu mwenyewe ametaka na sio kwa " nguvu" zetu.

Insha'Allah
Ila kweli Mungu ndo alitaka aisee
 
Back
Top Bottom