LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Nili andika juzi kuwa, katika ulimwengu wa roho, mchezaji ANAE beba nyota ya mafanikio ya Yanga ndani ya uwanja ni Jesus Moloko na kwamba Moloko anatakiwa kuwa treated from that aspect.
Naona leo Moloko ametangulizwa kuingia uwanjani.
Hii ni ishara nzuri sana , lakini Mzee wangu. "Nzee" Jabir wa Ilala, vijana wako hawaja elewa maelekezo vizuri.
Nilisema Kisinda hatakiwi kabisa kucheza. Katika ulimwengu wa rohoni nyota ya Tuisila inachafua mafanikio ya Yanga ndani ya uwanja.
Tukishinda leo ni Mungu mwenyewe ametaka na sio kwa " nguvu" zetu.
Insha'Allah