Vipi na nyie hapaUtowizard kwenye ubora wenu bila shirki na kayoko mlikuwa mfe leo
Yule jamaa hana utulivu. Hii mechi tulikuwa tunawapiga hawa makolo kabisaKisinda Ndiye mchezaji aliyepata mipira mingi na kuipoteza bila Sababu.
Sure.Huyu anatakiwa atolewe hata kwa mkopo dirisha dogoYule jamaa hana utulivu. Hii mechi tulikuwa tunawapiga hawa makolo kabisa
Nmekumbuka Chico UshindiKisinda Ndiye mchezaji aliyepata mipira mingi na kuipoteza bila Sababu.
Nmekumbuka Chico UshindiKisinda Ndiye mchezaji aliyepata mipira mingi na kuipoteza bila Sababu.
Leo amechezea jina tu. Nadhani anahitaji utulivu na msaada wa hali ya juu sana wa kisaikolojia, ili arejee katika kiwango chake cha awali.Kisinda Ndiye mchezaji aliyepata mipira mingi na kuipoteza bila Sababu.
Msiwe wabishi nyie kubalini HOJA yangu tu wakuu Kisinda anaichafua nyota ya Yanga. Hatakiwi kukaa hata benchi na kama.ataendelea KUWEPO BASI Yanga wasahau kuhusu ubingwa mwaka huu.Leo amechezea jina tu. Nadhani anahitaji utulivu na msaada wa hali ya juu sana wa kisaikolojia, ili arejee katika kiwango chake cha awali.
Kiwango kipi icho cha awaliLeo amechezea jina tu. Nadhani anahitaji utulivu na msaada wa hali ya juu sana wa kisaikolojia, ili arejee katika kiwango chake cha awali.
Ila kweli Mungu ndo alitaka aiseeNili andika juzi kuwa, katika ulimwengu wa roho, mchezaji ANAE beba nyota ya mafanikio ya Yanga ndani ya uwanja ni Jesus Moloko na kwamba Moloko anatakiwa kuwa treated from that aspect.
Naona leo Moloko ametangulizwa kuingia uwanjani.
Hii ni ishara nzuri sana , lakini Mzee wangu. "Nzee" Jabir wa Ilala, vijana wako hawaja elewa maelekezo vizuri.
Nilisema Kisinda hatakiwi kabisa kucheza. Katika ulimwengu wa rohoni nyota ya Tuisila inachafua mafanikio ya Yanga ndani ya uwanja.
Tukishinda leo ni Mungu mwenyewe ametaka na sio kwa " nguvu" zetu.
Insha'Allah