SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Yanga inaendeshwa kihuni sana, utoto mwingi.Akili hawana, hasa viongozi wao, mimi nilishangaa Bodi ya ligi imetoa taarifa ya kuhairisha mechi halafu wao wakapeka timu uwanjani, watu bado wanajiuliza kilichotokea, wamepeleka basi Mo Arena, wakidai ni utani, hakuna utani wa staili hizo kwenye wakati wa taharuki, na pia utani uko kwa mashabiki na sio watu wa management, wangeweza kudhurika na sijui wangesemaje! Wanjitia ubabe usio na maana yoyote, subiri uone kitakachotokea, hawatakaa waamini!
Barua inasema imeandikwa na nani.Nikimbie mjadala ili iweje? Nimekuuliza ile barua kaandika Ahmed au imeandikwa baada ya decision makers kukaa kikao?
Management na Magoli nae si sehemu hiyo Management?Barua inasema imeandikwa na nani.
Unadhani hilo swali lako ndiyo linakuokoa na jukumu la kuthibitisha kauli yako kuwa post ya Magori inaendana na kilichoandikwa katika barua?
Walete kwenye mchezo usio kuwepo?Waulize bodi ya ligi kwanini hawakuwaleta siku ya mchezo
Hamkuwa hata na jezi zinazotambulika na TFF, mlijiandaa kucheza mechi ipi hiyo? Halafu unasema mlitimiza wajibu wenu wakati jezi tu mlishindwa kuwa nazo.
Kwani kama kwa tafsiri yako ile barua ndiyo imetaja kuwa uamuzi wa mwisho umeshafanyika, basi tuambie wewe hiyo tarehe ya mechi ya marudiano.
Kama mmefikia hatua ya kutunga stori za mbuzi, kuku na vizee ni dhahiri kuwa mmeshtukia kuwa mmeingia cha kike. Kwanza wanaume gani nyie mnaogopa mbuzi? Mnaogopa kuku? Mnaogopa wazee? Ndiyo maana tabia zenu nyingi zina ukakasi.
Kama mmefikia levo za kuwakana mabausa wenu ni dhahiri mmeshashtukia mmeingia cha kike.
Toa ushahidi wa kile ulichosema, acha mbambamba.Management na Magoli nae si sehemu hiyo Management?
Kwenye jopo la Management ya wapishi anatokea mmoja wa wapishi anasema chakula kimechacha,utakula au hauli?
Achana nao hao. Wanaongozwa na wanasiasa kwa hiyo wanadhani kila kitu ni cha kufanyia propaganda.Picha za basi la Simba likizongwa zongwa na nao wahuni wao ziko mitandaoni, mbona za hao vibabu na mbuzi zinazodaiwa zilikuwa kwenye basi la Simba hazionekani mitandaoni?
Mbamba nini simple scenario nimekupa ,unazunguka kama dawa ya mbu wa kuchoma.Toa ushahidi wa kile ulichosema, acha mbambamba.
Mbamba nini simple scenario nimekupa ,unazunguka kama dawa ya mbu wa kuchoma.Toa ushahidi wa kile ulichosema, acha mbambamba.
Haihitaji D 2 kujua umeshindwa kuthibitisha kauli yako kwa hiyo lolote lingine unalosema ni porojo tu.Mbamba nini simple scenario nimekupa ,unazunguka kama dawa ya mbu wa kuchoma.
""Mfano Kwenye jopo la Management ya wapishi anatokea mmoja wa wapishi anasema chakula kimechacha,utakula au hauli?""
""Mfano Kwenye jopo la Management ya wapishi anatokea mmoja wa wapishi anasema chakula kimechacha,utakula au hauli?""Haihitaji D 2 kujua umeshindwa kuthibitisha kauli yako kwa hiyo lolote lingine unalosema ni porojo tu.
Huko tayari kuscreenshot post zangu na kucopy na kupaste post zako unaona rahisi ila kutuonyesha katika barua wapi Simba imesema haitaendelea na ligi umeshindwa.""Mfano Kwenye jopo la Management ya wapishi anatokea mmoja wa wapishi anasema chakula kimechacha,utakula au hauli?""
Bandiko la chiki hukilielewa hata mfano huo wajuu hutoelewa.
View attachment 3267790
Nikimbie mjadala ili iweje? Nimekuuliza ile barua kaandika Ahmed au imeandikwa baada ya decision makers kukaa kikao?Huko tayari kuscreenshot post zangu ila kutuonyesha katika barua wapi Simba imesema haitaendelea na ligi umeshindwa.
Sasa hivi umehamia kwa wapishi ila kuleta ushahidi wa ulichokisema kurasa nyingi zilizopita aaah! Mtu mzima akivuliwa nguo uchutama, ila wewe unaona poa tu kukimbia huku utupu wako uko nje nje.Nikimbie mjadala ili iweje? Nimekuuliza ile barua kaandika Ahmed au imeandikwa baada ya decision makers kukaa kikao?
""Mfano Kwenye jopo la Management ya wapishi anatokea mmoja wa wapishi anasema chakula kimechacha,utakula au hauli?""
Nikukimbie ww mweupe kabisa ndio maana hayo maswali huwezi ni jibu.
Niiongea hapa ila kichwa chako kizito.Sasa hivi umehamia kwa wapishi ila kuleta ushahidi wa ulichokisema kurasa nyingi zilizopita aaah! Mtu mzima akivuliwa nguo uchutama, ila wewe unaona poa tu kukimbia huku utupu wako uko nje nje.
Unadhani utanichosha ili uepuke aibu ya kuonekana unabwabwaja mambo yasiyokuwepo.Niiongea hapa ila kichwa chako kizito.
View attachment 3267803
Nimekuwekea mifano hutaki kuelewa,sasa nikufanyeje kama akili yenyewe ujazo wa kisoda.
Nikuchoshoshe kwani nimekuita humu JF? Unajipa umuhimu wakati sikufahamu.Unadhani utanichosha ili uepuke aibu ya kuonekana unabwabwaja mambo yasiyokuwepo.