Haushangai hamna mtu anaongelea post ya Magori isipokuwa wewe tu umeikomalia toka juzi? Embu jishangae basi kidogo labda akili itakurudia.Nikuchoshoshe kwani nimekuita humu JF? Unajipa umuhimu wakati sikufahamu.
Aliyepayuka kiongozi wenu, kutoka kwenye management yenu ambaye ni decision maker wenu.
Kwani ameongea haja ongea? Wewe vip sipo humu kumrizisha mtu,inawezekana udogo wako wa akili unashindwa kuelewa ninacho kiandika,sio kosa lako.Haushangai hamna mtu anaongelea post ya Magori isipokuwa wewe tu umeikomalia toka juzi? Embu jishangae basi kidogo labda akili itakurudia.
Abee😹
Sema neno moja tuAbee😹
Hakuna chochote cha maana unachoongea, unamwaga pumba tu na mashudu. Dunia nzima ni wewe pekee unaongelea post ya Magori. Hata vyura wenzio wamekuchunia. Unajaribu kuwavuta hawavutiki, wanakuangalia kama punguani tu.Kwani ameongea haja ongea? Wewe vip sipo humu kumrizisha mtu,inawezekana udogo wako wa akili unashindwa kuelewa ninacho kiandika,sio kosa lako.
Huwezi kuona sababu akili ujazo wa kisoda,mimi mwenye hiki unacho kiandika hakieleweki. Nitake kingine kwako ili iweje.....?Hakuna chochote cha maana unachoongea, unamwaga pumba tu na mashudu. Dunia nzima ni wewe pekee unaongelea post ya Magori. Hata vyura wenzio wamekuchunia. Unajaribu kuwavuta hawavutiki, wanakuangalia kama punguani tu.
Simba imetoa kauli rasmi kwa njia ya maandishi kwenda Bodi ya Ligi na TFF na msemaji wa klabu katoa kauli kuwa Simba inajiandaa kucheza na Dodoma Jiji. Full Stop. Unataka nini kingine?
Sasa ndiyo umeandika nini? Umeshapagawa weweHuwezi kuona sababu akili ujazo wa kisoda,mimi mwenye hiki unacho kiandika hakieleweki. Nitake kingine kwako ili iweje.....?
Aliye payuka kiongozi wenu.
Sio kosa lako akili soda.Sasa ndiyo umeandika nini? Umeshapagawa wewe
Mbona kama unaagaaga kimtindo, tuendelee....Sio kosa lako akili soda.
Nikuogope ww wewe iliniweje? naitizama Yanga, yaani niache kuangalia Yanga kwa sababu ya mashudu yako.Mbona kama unaagaaga kimtindo, tuendelee....
Bado jumuiya ya JF inasubiri na kukutaka utuletee uthibitisho wa kauli yako kuwa alichozungumza Magori ndiyo kilichopo kwenye barua. Nakupa masaa 72 utuletee huo uthibitisho.
Kiazi kweli ndio Kolo wenzio wanavyo kudaganya.Niogope sana maana kila siku nakuaibisha ila haujifunzi tu.
Wenzio kina ngara23 wananitambua. Wakiniona tu wanakula unyoya.
Sihitaji mtu kuniambia wakati najionea mwenyewe. Wewe unadhani mtu akipitia haya majadiliano kwenye uzi huu atapata picha gani zaidi ya kukudharau?Kiazi kweli ndio Kolo wenzio wanavyo kudaganya.
Unazani kila mtu ni kiazi kama wewe.Sihitaji mtu kuniambia wakati najionea mwenyewe. Wewe unadhani mtu akipitia haya majadiliano kwenye uzi huu atapata picha gani zaidi ya kukudharau?
Acha porojo we 🐸Kama wangepokea wasingenda uwanjani,nyie Kolo FC si mnatumia Instagram kufanya kazi kama Mwijaku na Baba Levo.
Kweli we Kolo,sasa nitawekaje hapa kitu ambacho hawajapokea?Acha porojo we 🐸
Weka hapa taarifa ya uongozi wa utopwinyo kutokupokea barua ya mechi kuahirishwa.
Na we kweli chura, huna taarifa ya viongozi wa utopwinyo kukana kupokea taarifa halafu unasema hawakupokea taarifa yaani unawafanya viongozi wako wawe viroboto kabisa.Kweli we Kolo,sasa nitawekaje hapa kitu ambacho hawajapokea?
Ndio maana wameenda uwanjani.
We kweli kima sasa kama wangekwa na taarifa OFFICIALLY wangepeleka timu uwanjani?Na we kweli chura, huna taarifa ya viongozi wa utopwinyo kukana kupokea taarifa halafu unasema hawakupokea taarifa yaani unawafanya viongozi wako wawe viroboto kabisa.
Weka hapa kanusho la utopwinyo kupokea barua, kama halipo sema halipo....
Utopwinyo mna utoto mwingi sana nyie 🐸🐸
Kima mwenyewe..We kweli kima sasa kama wangekwa na taarifa OFFICIALLY wangepeleka timu uwanjani?
Wewe mwenyewe ulipokea kanusho la utopwinyo kupokea barua kupitia instagram....Nyie taasisi yenu si ya kindezi inafanya kazi kupitia Instagram