Walikuwa wnaa test mkuuNgoma Nagwa haichezwi tena na Bodi ya Ligi wamejinyea Almasi Kasongo na Steve Mngeto sijui Steve Mengele wamefanya maamuzi ya kitoto hawakujua ngoma ya watoto hailali
Yanga ipewe haki yake Bodi ya Ligi wamevurunda wenyewe sasa maji wameyavulia nguo wayaoge nani aliwatuma wahairishe mechi wanawaingiza watu hasara hapo bado Azam hajaandika barua kuomba fidia ya hasara aliyoingia siku hio ya mechi kadanganywa kwamba mechi asubuhi mchana linatoka barua mechi hakuna sasa walipe gharama hizoHiki kinachofanywa na Yanga sasa kwa maoni ya mashabiki wa SImba wanaona ni ujinga. Ila ule uhuni waliofanyawao wanaona ni sahihi.
Hiki mnachotaka kuhalalisha wakifanya wengine mnaona ni uhuni.
Naamini kuwa shabiki wa SImba ni kipaji aisee.
Gharama hizo watalipa naa point 3 watatoa na magoli 3 watatoa na yule Mkia ashushwe daraja akachezee ligi daraja la pili hukoWalikuwa wnaa test mkuu
YANGA tutaifwata hizo pt tatu hadi cas
Upo chooni unakunya nini? Uamuzi haujatolewa kuahirisha mechi sio uamuzi?uamuzi wa bodi ya ligi ilhali uamuzi bado haujatolewa.
Leoo nimecheka sanaa kaulizwa mouuzi MMOJA WA BODI magutti sijuiYanga ipewe haki yake Bodi ya Ligi wamevurunda wenyewe sasa maji wameyavulia nguo wayaoge nani aliwatuma wahairishe mechi wanawaingiza watu hasara hapo bado Azam hajaandika barua kuomba fidia ya hasara aliyoingia siku hio ya mechi kadanganywa kwamba mechi asubuhi mchana linatoka barua mechi hakuna sasa walipe gharama hizo
Ukae kwa kutulia wewe ukae kwaa kutulia kabisa wale Mbuzi na Kuku mlikua mnawapeleka kufanya nini uwanjani na vizee vyenu vyenye macho mekundu?Hii klabu mbona inatapatapa hivi? Barua kila kukicha utadhani hawana kazi nyingine za kufanya.
Mpaka mseme wale wahuni waliokaa pale getini walitumwa na nani.
Na sio hioo tuUpo chooni unakunya nini? Uamuzi haujatolewa kuahirisha mechi sio uamuzi?
Naomba kuuliza hiyo mamlaka ya juu zaidi kama hayo hayatatekelezwa ni ipi hiyo?!Barua Ref:No YASC/TPLB/M. 184/2025/ 201
Yanga imeandikia Bodi ya ligi rasmi barua yenye kurasa 5, kuomba alama 3 na magoli 3 na kutaka fidia za maandalizi ya mchezo kiasi cha Tshs 56,435,000. Ambazo zimeainishwa kwenye kipengele namba 17 kwenye barua yenye vipengele 19
Katika kipengele namba 18 wamesisitiza kuwa hawako tayari kuicheza mechi namba 184 katika msimu huu. Na kwamba mechi ilihairishwa Kwa makosa ya maksudi ya Simba Kwa hiyo wanastahili alama 3
Mwisho Yanga wanasisitiza kama madai Yao ya kupewa alama 3 na magoli 3 pamoja na fidia ya maandalizi ya mchezo.
Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
Na kama madai hayo hayatazingatiwa, Yanga hawatasita kulipeleka suala hii katika mamlaka ya juu zai
Barua hii imewasirishwa tarehe 10 March, 2025
Imeandikwa na Andre Mtine
Mtendaji mkuu Young Africans sc
Hahaha nimecheka kishenzi kakata simu?Akadai anaomba YANGA wawe wapole hatujatoaanmamuzi ya mwishoo
Wakaulizwa mbona kwenye BARUA YENU mmeshandika mtataja tar ya mechi kurudiwa nnejuaje itahitajika kurudiwa alivyo fala akakata simu
NssfNaomba kuuliza hiyo mamlaka ya juu zaidi kama hayo hayatatekelezwa ni ipi hiyo?!
Utaijua hapohapo FIFA huko CAS iende ikachomewe TFF na BOdi ya Ligi inayoongozwa na watu wapumbavu wasiojua kufuata kanuni zinavyosemaNaomba kuuliza hiyo mamlaka ya juu zaidi kama hayo hayatatekelezwa ni ipi hiyo?!
Sio inaonesha Bali jua ya kwamba siku zote timu hii imekua na wajinga wengi kuanzia uongozi Hadi huku kwa mashabiki, na zaidi viongozi Wana kiburi, ujeuri, dharau kwa mamlaka za mpira ikiwemo tff na bodi ya ligi..sasa nawaambia Hawa wajinga na ubabe wao na kiburi , kitakachotokea ni hiki, kwenye hizi futari futari za kitaifa ambazo watu wa serikali wanakuepo kuanzia rais au waziri wakuu ama naibu wake ama makamu wa rais, mmoja wao atasema au atamwambia mzee wangu Karia kua naitaji kua mgeni rasmi katika mechi ya Derby , ghafla tarehe itapangwa na mgeni rasmi (mtu mkubwa) anasema atakuepo, Sasa wewe unayesema huleti timu mara hutacheza basi tuone usilete timuKila hatua inaonesha jinsi walivyo wajinga
Fastaa mpwaaaa mbwa yuleee unajua wakati WANAANDIKA walikuwa na mhemukoo hawakujia walichoandika na wengine wenye akili watazisomaHahaha nimecheka kishenzi kakata simu?
ππππππ Hatari sana! Sasa si walipeleke tu huko moja kwa moja, haina haja ya kusubiria hayo masaa.Nssf
PPF
Taura
Ni ndio maana nimemjibu mamlaka za juu pssf PPFUtaijua hapohapo FIFA huko CAS iende ikachomewe TFF na BOdi ya Ligi inayoongozwa na watu wapumbavu wasiojua kufuata kanuni zinavyosema
Wale watu wenu wenyewe msisingizie Yanga. Nyie jamaa mnakera sana na uhuni wenu mnatuharibia mpira.Hii klabu mbona inatapatapa hivi? Barua kila kukicha utadhani hawana kazi nyingine za kufanya.
Mpaka mseme wale wahuni waliokaa pale getini walitumwa na nani.
Kufungiwa au kutofungiwa kuko mikononi mwa Bodi.Ubabe ujeuri dharau kiburi havitaisaidia hii timu. Huyo anayeiendesha hii timu kwa nyuma ambaye hatumuoni ndio ataizamisha hii timu au atasabisha Tanzania tufungiwe kabisa.