Yanga wawapa bodi ya ligi masaa 72, kulipwa fidia za michezo na points 3 za mchezo wao dhidi ya Simba

Sasa mimi kuisoma barua mtandaoni ni sawa na taasisi kama Yanga?Yanga inaofisi walicho tegemea ni barua officials iliyofuata taratibu.

Nani kachagua cha kutambua.Kauli ya mtu mmoja inafanana na kile kilicho andikwa kwenye barua na tena ni decision maker wa klabu yenu,maana yake yale ni maamuzi ya club.
 
Hawawezi kukuelewa hao mbumbumbu
 
Ningeiomba wizara ya michezo iishauri TFF kuvunja body ya ligi na kamati ya masaa 72 kutengeneza harmony kwanza, mambo mengine yatafuata!
 
Hakuna sehemu kwenye barua ya Simba iliyosema haitaendelea na ligi.
 
Kauli ya mtu mmoja inafanana na kile kilicho andikwa kwenye barua na tena ni decision maker wa klabu yenu,maana yake yale ni maamuzi ya club.
ACHA UPOTOSHAJI! ONYESHA SEHEMU KATIKA BARUA YA SIMBA WALIPOSEMA HAWATAENDELEA NA LIGI!
 
Utaijua hapohapo FIFA huko CAS iende ikachomewe TFF na BOdi ya Ligi inayoongozwa na watu wapumbavu wasiojua kufuata kanuni zinavyosema
YANGA MKIENDA HUKO CAS,FIFA MTAKUWA MMEJIKAMATISHA ,SABABU MNA KESI KIBAO ZA MADAI HUKO MAHAKAMA ZA MICHEZO.

WACHEZAJI KIBAO WANAWADAI NA MALALAMIKO YAPO HUKO.
 
yaass!!!twende sasa chama langu yanga,mpk tuwatoe damu
 
Hakuna ushahidi wowote kua walisema mechi itakuepo. Barua yao ni moja iliyotoka saa sita mchana ya kuahirisha mechi
 
kuna uhuni kuzidi kwenda sehemu na mbuzi bila taarifa
YANGA MKIENDA HUKO CAS,FIFA MTAKUWA MMEJIKAMATISHA ,SABABU MNA KESI KIBAO ZA MADAI HUKO MAHAKAMA ZA MICHEZO.

WACHEZAJI KIBAO WANAWADAI NA MALALAMIKO YAPO HUKO.
 
We kilaza acha ujinga , Point 3 sahau Hilo haujatimiza kigezo hata Kimora cha kupewa Point 3.

Yani Hilo halitawez3kana abadan kupewa Point 3 sahau kabisa akilini mwako.
 
YANGA MKIENDA HUKO CAS,FIFA MTAKUWA MMEJIKAMATISHA ,SABABU MNA KESI KIBAO ZA MADAI HUKO MAHAKAMA ZA MICHEZO.

WACHEZAJI KIBAO WANAWADAI NA MALALAMIKO YAPO HUKO.
Unaota au unaoteshwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…