Yanga wawapa bodi ya ligi masaa 72, kulipwa fidia za michezo na points 3 za mchezo wao dhidi ya Simba

Yanga wawapa bodi ya ligi masaa 72, kulipwa fidia za michezo na points 3 za mchezo wao dhidi ya Simba

Una uhakika kuwa pale walikuwa baunsa wa Yanga
Na nani alikwambia kuwa Yanga ina mabaunsa
Simba waliandaa vibaka wao wakasema ni WA Yanga
Kwahiyo unandika vitu usivyovijua kumbe hata hufahamu kuwa yanga ina mabaunsa na hata barua ya tff na clip zinazowaonyesha hata hujaziona
Na kwa akili yako finyu ingekuwa hao unao waita vibaka kweli Simba ndio kawatuma
Sasa mbona unakinzana na Yanga....yanga inakubali wale ni watu wao na wasingekuwa watu wa yanga nadhani uongozi wa yanga ungekanusha na Simba ingeshtakiwa kwa kosa Hilo
 
Unauhakika haujatolewaaa
Umesomaaa ULE baruaa vizurii??

Wamehairisha kupisha UCHUNGUZI

Hapo HAPO WANAMALIZIA watawajulisha tar ya mechi itakayochezwa........

Wamejuaje mechi lazima irudiwe??
Shame n them
Shame kassongo
Shame mgutti

Mkuu ho Ngoma mbichi hii Ngoma itakuwa sio ti YANGA itasaidia na wapuuzi wengine WALIOKUWA kiichezea BODI kwa kuhonga wawewe mwishowaooo
Kama match imehairishwa si lazima irudiwe
 
Barua Ref:No YASC/TPLB/M. 184/2025/ 201
Yanga imeandikia Bodi ya ligi rasmi barua yenye kurasa 5, kuomba alama 3 na magoli 3 na kutaka fidia za maandalizi ya mchezo kiasi cha Tshs 56,435,000. Ambazo zimeainishwa kwenye kipengele namba 17 kwenye barua yenye vipengele 19

Katika kipengele namba 18 wamesisitiza kuwa hawako tayari kuicheza mechi namba 184 katika msimu huu. Na kwamba mechi ilihairishwa Kwa makosa ya maksudi ya Simba Kwa hiyo wanastahili alama 3

Mwisho Yanga wanasisitiza kama madai Yao ya kupewa alama 3 na magoli 3 pamoja na fidia ya maandalizi ya mchezo.

Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Na kama madai hayo hayatazingatiwa, Yanga hawatasita kulipeleka suala hii katika mamlaka ya juu zai

Barua hii imewasirishwa tarehe 10 March, 2025

Imeandikwa na Andre Mtine
Mtendaji mkuu Young Africans sc
Mechi mtacheza Kwa kupenda au bila kupenda na hakuna fidia ya supu wala wa kuwabembeleza
 
Taasisi ya kindezi haina tofauti na page za udaku za Instagram, yanga tu wadau wazoefu Instagram coz tu mandezi
Taasisi ya kindezi haina tofauti na page za udaku za Instagram, yanga tu wadau wazoefu Instagram coz tu mandezi
 
Hali mbaya ya uchumi inayoshuhudiwa na nchi nyingi za Afrika inachukuliwa k_20250313_074210_0000.png
 
Taasisi ya kindezi haina tofauti na page za udaku za Instagram, yanga tu wadau wazoefu Instagram coz tu mandezi
Taasisi ya kindezi haina tofauti na page za udaku za Instagram, yanga tu wadau wazoefu Instagram coz tu mandezi wazoefu 🐸🐸
 
Hujui hata kanuni zinasemaje? Huna akili wewe kabisa😂.
Kama kuwa na akili ndio kama hivyo unavyoamini basi kuna shida. Point 3 zina utaratibu wake, acha utopolo kichwa maji.
 
😂😂😂
Nenda TFF watakupa utaratibu.
Tumia simu yako vizuri.
Jinga kabisa hili kolo.... Unasema kuna taratibu za kutoa point 3 afu hujui hata 1?. Puuzi wewe...
 
Taasisi ya kindezi haina tofauti na page za udaku za Instagram, yanga tu wadau wazoefu Instagram coz tu mandezi
Taasisi ya kindezi haina tofauti na page za udaku za Instagram, yanga tu wadau wazoefu Instagram coz tu mandezi wazoefu, tumepewa points 3 na mandezi wenzetu kabla hata ya masaa 72, sisi ndio 🐸🐸 wenyewe
 
Taasisi ya kindezi haina tofauti na page za udaku za Instagram.
 
Back
Top Bottom