Jezi boraHizi ni miongoni mwa jezi za hovyo nilizo zishuhudia
Zipo wapi?Hizi ni miongoni mwa jezi za hovyo nilizo zishuhudia
Ntavaa uzi huu kwenye harusi yangu wiki ijayo.Baada ya purukushani nyingi kwenye mitandao ya kijamii hatimaye timu ya Yanga imefanikiwa kuzindua Jezi zake mpya za msimu wa 2023/2024 View attachment 2679586
Wameshtukizwa, hawakujipanga kufanya uzinduzi wa kushtukiza hivyo.Walizopewa Rais Samia na mwenzake zina nembo ya Haier. Halafu tunaposema hii safari imetibua mipango ya klabu muwe mnaelewa, msikae tu kushangilia.
Kwenye ukweli acha nisemee, hii nimeielewaa, tangu ilipooneshwaa.Hii jezi ni kali kinoma.View attachment 2679642