kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Zishapigwa tayari ithibati za kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Tundu Antipas Lisu ni Yanga lakini Jezi hawezi kuvaa!😄😄Mimi mshabiki wa Yanga lakini jezi imenishinda kuvaa....
Hayo ni maneno ya kila msimu kwa Madundukaz ,walianza msalaaba ,wakaja na ramani ,wakaja vikaragosi ,wakaja majengo na spider web na ule wa kimataifa eti nyoka.Hamna jezi hapo, hapo ndio level ya mwisho wa ubunifu wa jamaa.
Zina nembo ya Haier nyuma ya jezi juu. We ndiyo uache utoto sasaTuonyeshe iyo nembo ya hier hapo ulipoiona, acha utoto wewe
Hii ya msimu huu ni mbovu kuliko ileHayo ni maneno ya kila msimu kwa Madundukaz ,walianza msalaaba ,wakaja na ramani ,wakaja vikaragosi ,wakaja majengo na spider web na ule wa kimataifa eti nyoka.
Cha ajabu mauzo yanakuwa makubwa kucompare na matambala yao .
Simba ni CUF ya lipumbaIyo mbona inajulikana CCM na Yanga ni mtu na mwanae,Simba wanapambana kivyao bila mbeleko ya chama na serikali.
Kuna Timu,mafundi wa Rangi wapo jikoni kuchemsha Rangi,wapake kwenye jezi na waanikeHizi ni miongoni mwa jezi za hovyo nilizo zishuhudia
ulitaka blue bahari na nyekundusipendi unafiki hizi rangi za jezi hazivutii kabisa. Nyingine imekuwa kama bendera ya CCM