Yanga wenye akili ni wawili, Manara katukosea sana

Yanga wenye akili ni wawili, Manara katukosea sana

dah ujumbe mzuri maana huko jangwani wamejaa kabwili wengi
Hio nywele umetisha hongera mkuu
IMG_20220826_200500.jpg
 
Manara hakukusea popote, yupo sahihi asilimia 100, jana mechi ya taifa star na Uganda kuna shabiki wa Yanga alikuwa kabeba bendera kubwa kbs ya Uganda akiipeperusha kwa bashasha pasi na hofu.
 
Back
Top Bottom