ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Naomba uongozi wa Yanga , wafanye juu chini mechi ya Derby tusicheze Kwa mkapa kwakuwa uwanja ule unamatatizo ya pitch lakini pia ,inasemekana Simba Kuna vidubwana wameweka chini Ya Ardhi.
Pia na sisi mechi hii kwakuwa sisi ni wenyeji ,lazima tufanye ubaya ubwela kweli kweli, kwanza Simba kama timu ya ugenini inapaswa kupewa ticketi zinazofikia ukomo wa asilimia 5% tu ya uwezo wa uwanja, kwahiyo, mechi yetu ikiwa Zanzibar Simba watapewa ticketi 500, na sisi yanga kama timu ya nyumbani tutabaki na 14500, na hapo itakuwa na njiano na kijani.
Yani hio mechi lazma fadlu mikono itetemeke, huyo mbunge ambaye hakuchaguliwa na Wananchi mwana FA anaesema kuwa mechi itachezwa Kwa Mkapa, Sasa sijui Toka lini mshabiki wa Simba akawa ndo msemaji wetu sisi wanayanga, na ajiandae kukabidhi Jimbo Kwa Adadi Rajabu, vijana wa muheza hawataki hata kumsikia.
Tunaomba Refa awe Arajiga, halaf asiwepo mwanamke yeyote kwenye kibendera.
Ninaamini huu ndo mwisho wa Fadlu na Mangungu, haiwezekani muwe mnabebwa na marefa msimu mzima