Kwanini Wallace Karia achukue fomu za wadhamini 46 jumla ni 47Hizi chokochoko zote juu Wallace karia ni kutaka ama kujaribu kuipindua tff na kuweka watu wao
Kwa hiyo wanataka waweke yanga damu damuKalia ni simba dam dam ndo maana Yanga wanaleta noma
Katika misimu minne chini ya Karia Yanga kabeba ubingwa karibu asilimia 95 ya makombe yaliyoshindaniwa. Unasema Yanga aingize watu wake waende kufanya nini zaidi?Hizi chokochoko zote juu Wallace karia ni kutaka ama kujaribu kuipindua tff na kuweka watu wao
Tukiachana na ushabiki fikiria tu kama minimum requirement ya endorsements ni tano mtu anaenda kuchukua 46 kati ya 47 ana nia gani?Hizi chokochoko zote juu Wallace karia ni kutaka ama kujaribu kuipindua tff na kuweka watu wao
Ndio kabla ya uchaguzi aende akachukue endorsement 46 kati ya 47 kuzuia wengine wasishiriki uchaguzi?Amechukua, Au amepewa? Hivi kama unataka hata kama ni wewe utaacha.
Lazima MJUE hata yeye anataka ushindi, katiba inamruhusu
ukitaka kujua haya matimu yanawatoa watu akili hapo mwana Simba anashabikia upuuzi wa Karia ila kwenye sisasa anapinga uwepo wa CCM wakati mbinu ni zile zileAmechukua, Au amepewa? Hivi kama unataka hata kama ni wewe utaacha.
Lazima MJUE hata yeye anataka ushindi, katiba inamruhusu
Huyu nae eti kanunua bando anachangia hiviAmechukua, Au amepewa? Hivi kama unataka hata kama ni wewe utaacha.
Lazima MJUE hata yeye anataka ushindi, katiba inamruhusu
Ulikuwa wapi wakati wa mzee ndolanga?Hizi chokochoko zote juu Wallace karia ni kutaka ama kujaribu kuipindua tff na kuweka watu wao
Hili Taifa Lina wajinga wengiHuyu nae eti kanunua bando anachangia hivi
Yanga ilipigania uhuru toka kwa nan na hiyo vita ilikua ikipiganwa wapi?Katika misimu minne chini ya Karia Yanga kabeba ubingwa karibu asilimia 95 ya makombe yaliyoshindaniwa. Unasema Yanga aingize watu wake waende kufanya nini zaidi?
Nadhani kuna kitu bado hamkielewi kuhusu Yanga, kama ilipigania uhuru inashindwa vipi kupigania mpira wa bongo kutoka kwenye ujanja janja.
Siyo kila ukweli utaandikwaYanga ilipigania uhuru toka kwa nan na hiyo vita ilikua ikipiganwa wapi?
Tumesoma historia sijawah kuona neno yanga kua ndie aliyelikomboa hili taifa.msipende kujipa umuhimu kwenye hakuna.
Uhuru tumepata mwaka 1961 sijawah ona popote neno yanga kwenye harakat za ukomboz bahat mbaya hiyo timu imejaa siasa nyingi sana kias kwamba mnajiona nyie ndio kila kitu kwenye nchi hii.
Kuna muda inatufanya tuamin kua hapo yanga wote ni vilaza
Haya ni maumivu ya goli mbiliYanga ilipigania uhuru toka kwa nan na hiyo vita ilikua ikipiganwa wapi?
Tumesoma historia sijawah kuona neno yanga kua ndie aliyelikomboa hili taifa.msipende kujipa umuhimu kwenye hakuna.
Uhuru tumepata mwaka 1961 sijawah ona popote neno yanga kwenye harakat za ukomboz bahat mbaya hiyo timu imejaa siasa nyingi sana kias kwamba mnajiona nyie ndio kila kitu kwenye nchi hii.
Kuna muda inatufanya tuamin kua hapo yanga wote ni vilaza
Rushwa ina viashiria vingi sana.Amechukua, Au amepewa? Hivi kama unataka hata kama ni wewe utaacha.
Lazima MJUE hata yeye anataka ushindi, katiba inamruhusu