Yanga wqnachotaka ni kuhakikisha kwamba pale tff wanapandikiza watu wao !

Yanga wqnachotaka ni kuhakikisha kwamba pale tff wanapandikiza watu wao !

Yanga ilipigania uhuru toka kwa nan na hiyo vita ilikua ikipiganwa wapi?
Tumesoma historia sijawah kuona neno yanga kua ndie aliyelikomboa hili taifa.msipende kujipa umuhimu kwenye hakuna.
Uhuru tumepata mwaka 1961 sijawah ona popote neno yanga kwenye harakat za ukomboz bahat mbaya hiyo timu imejaa siasa nyingi sana kias kwamba mnajiona nyie ndio kila kitu kwenye nchi hii.
Kuna muda inatufanya tuamin kua hapo yanga wote ni vilaza
Ndugu punguza hasira hakuna sehemu nimesema Yanga aliipatia uhuru TZ. Njoo tu enjoy ball upunguze makasiriko
 
Back
Top Bottom