William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Ukiwaangalia yanga Ligi kuu ni kama barca ile ya Moto kabisa. Ya richcard. Aziz ki anakuwa kama gaucho. Pakome ni inesta mtupu, Mzize ndio Eto, mwamnyeto Puyo. Akina nzegeli nddio usiseme.
Sasa watoe nje sasa. Inakuwa timu ya ovyo kabisa. Kama saudi Arabia word cup au Mashujaa ligi kuu.
Lakini simba kinachochezwa ligi ya ndani na kimataifa tunaona kiwango na ubora sawa. Yani pafomance ya yanga ligi kuu ingekuwa ndio ya Simba basi msimu huu simba ingechukua ndoo ya Africa kabisa.
Tuache ushabiki tujadili kiprofesheno kabisa.
Je bado mbinu walizokuwa wanazitumia zamani bado waanazitumia hadi sasa.
Kikwete aliwaambia nyuma huko waache kutumia mbinu chafu kutafuta ubingwa. Kwani hazikuzi soka la Tanzania. Akitaja mbinu hizo kuwa ni.
Kuwahonga marefa
Kuwaonga wakabaji wa upinzani wasiwakabe wafungaji wao kwa umakini. Yani beki kadhaa zinahongwa zisimkabe Pakome, Aziz ki, skudu au Nzegeli.
Kuhonga makipa na ilimtokea mbisa
Kuhonga wafungaji wa timu pinzani wasiwafunge.
Tunataka tuone uwezo wa yanga hasa inapopambana na timu zenye fedha za nje zisizohongeka sasa kama Al ahly, Al hilal, waalgeria na wamoroko.