Yanga ya Ligi kuu ni kama Barcelona ila Ya klabu bingwa ni kama Mashujaa tu. Je jk alikuwa sawa bado inashinda Ligi kwa mbinu sio?

Yanga ya Ligi kuu ni kama Barcelona ila Ya klabu bingwa ni kama Mashujaa tu. Je jk alikuwa sawa bado inashinda Ligi kwa mbinu sio?

Kimataifa yanga kwenye kundi ipo mkiani ikiwa haijashinda mechi yoyote.
Ligi kuu imeshinda kwa kishindo sana mechi 8 kati ya 9. Je nini hasa unahitaji
Na Simba ni wangapi kwenye kundi lake, kashinda mechi ngapi ? hapo nitatoa maoni yangu
 
Kiwango kizuri iko mkiani. Sasa huo unazungumzia uzuri upi. Kiwango cha timu hupimwa kwa matokeo kaka. Leo ukisema mtibwa ina kiwango kizuri unatakiwa upimwe akili. Wanapiga pasi, wanadrible lakini hawashindi.
Kimataifa msimu huu mmeshinda mechi ngapi?
 
Sasa hivi wanaziambia timu ukiifunga tu Yanga tegemea kushuka daraja. Sasa jiulize kumfunga Yanga mechi moja au mbili kunahusiana vipi na kushuka daraja au kufanya vibaya mechi zako zingine
Toka Aziz Ki afike Tanzania ameshawatia tobo wachezaji 23, kati ya hao 5imba ni wachezaji 7, na wa kwanza ni Mohammed Hussein, lkn pia wapo Ngoma,Kapombe na Manula,muzamiru,Onyango,Chama.

Hiyo ni sawa na 1/3 ya wachezaji wote waliowekwa tobo na Ki wanatoka makolo

Ina maana 30% ya wachezaji wote waliopigwa tobo na Aziz wanatoka 5imba

Zaidi ya robo ya wachezaji waliopigwa tobo na Ki hapa Tanzania ni wachezaji wa mbu3

What a record 💥💥
 
Kiwango kizuri iko mkiani. Sasa huo unazungumzia uzuri upi. Kiwango cha timu hupimwa kwa matokeo kaka. Leo ukisema mtibwa ina kiwango kizuri unatakiwa upimwe akili. Wanapiga pasi, wanadrible lakini hawashindi.
Yanga angekuwepo lile kundi la mikia angekua anaongoza lile kundi
 
Simba akiwa bora ndani hadi nje tunamuona. Lakini yanga ni tofauti mno.
Tunazungumzia kwa sasa ambapo Yanga anafanya vizuri ndani ila nje anaboronga, Simba anaboronga kotekote, Nani bora?
Maana hayo maelezo unaonyesha Simba hayupo vizuri kotekote.
 
Simba ata ndani sio wazuri na iko na migogoro. Lakini matokeo ya Yanga ndio uwezo halisi wa timu yao ujue. Tena wakiwa bora.
Nani kakwambia simba Kuna migogoro? Weka ushahidi hapa. Wewe jibu swali mko nafasi ya ngapi?
 
Tunazungumzia kwa sasa ambapo Yanga anafanya vizuri ndani ila nje anaboronga, Simba anaboronga kotekote, Nani bora?
Maana hayo maelezo unaonyesha Simba hayupo vizuri kotekote.
Huwezi kuwa bora ndani alafu nje uboronge kaka. Na simba tatizo lilikuwa uongozi na benchi la ufundi sio wachezaji.
 
Back
Top Bottom