Na Simba ni wangapi kwenye kundi lake, kashinda mechi ngapi ? hapo nitatoa maoni yanguKimataifa yanga kwenye kundi ipo mkiani ikiwa haijashinda mechi yoyote.
Ligi kuu imeshinda kwa kishindo sana mechi 8 kati ya 9. Je nini hasa unahitaji
Simba ameshinda mechi ngapi kimataifa? Na yuko nafasi ya ngapi kwenye kundi lao?Kimataifa yanga kwenye kundi ipo mkiani ikiwa haijashinda mechi yoyote.
Ligi kuu imeshinda kwa kishindo sana mechi 8 kati ya 9. Je nini hasa unahitaji
Kimataifa msimu huu mmeshinda mechi ngapi?Kiwango kizuri iko mkiani. Sasa huo unazungumzia uzuri upi. Kiwango cha timu hupimwa kwa matokeo kaka. Leo ukisema mtibwa ina kiwango kizuri unatakiwa upimwe akili. Wanapiga pasi, wanadrible lakini hawashindi.
Simba ni ya ngapi kwenye kundi lao kimataifa, imeshinda mechi ngapi?Kimataifa yanga kwenye kundi ipo mkiani ikiwa haijashinda mechi yoyote.
Ligi kuu imeshinda kwa kishindo sana mechi 8 kati ya 9. Je nini hasa unahitaji
5imba hoyeeYanga akishinda tena ligi awamu hii itakua ushahidi tosha kuwa wananunua mechi.
Elewa ata mpira wa simba sio bora sana ligi kuu. Lakini kimataifa inareflect. Lakini yanga ni tofauti mno ndani na njeSimba ni ya ngapi kwenye kundi lao kimataifa, imeshinda mechi ngapi?
Simba ata ndani sio wazuri na iko na migogoro. Lakini matokeo ya Yanga ndio uwezo halisi wa timu yao ujue. Tena wakiwa bora.Simba ni ya ngapi kwenye kundi lao kimataifa, imeshinda mechi ngapi?
Sasa hapo bora yupi kati ya Simba na Yanga?Elewa ata mpira wa simba sio bora sana ligi kuu. Lakini kimataifa inareflect. Lakini yanga ni tofauti mno ndani na nje
Simba akiwa bora ndani hadi nje tunamuona. Lakini yanga ni tofauti mno.Sasa hapo bora yupi kati ya Simba na Yanga?
Naunga mkono hojaHivi hii trend ya mashabiki wa Simba kukosa akili imeanza lini? Au shauri ya mkono?
Bora kabeba ilo kombe auSimba akiwa bora ndani hadi nje tunamuona. Lakini yanga ni tofauti mno.
Toka Aziz Ki afike Tanzania ameshawatia tobo wachezaji 23, kati ya hao 5imba ni wachezaji 7, na wa kwanza ni Mohammed Hussein, lkn pia wapo Ngoma,Kapombe na Manula,muzamiru,Onyango,Chama.Sasa hivi wanaziambia timu ukiifunga tu Yanga tegemea kushuka daraja. Sasa jiulize kumfunga Yanga mechi moja au mbili kunahusiana vipi na kushuka daraja au kufanya vibaya mechi zako zingine
Yanga angekuwepo lile kundi la mikia angekua anaongoza lile kundiKiwango kizuri iko mkiani. Sasa huo unazungumzia uzuri upi. Kiwango cha timu hupimwa kwa matokeo kaka. Leo ukisema mtibwa ina kiwango kizuri unatakiwa upimwe akili. Wanapiga pasi, wanadrible lakini hawashindi.
Tunazungumzia kwa sasa ambapo Yanga anafanya vizuri ndani ila nje anaboronga, Simba anaboronga kotekote, Nani bora?Simba akiwa bora ndani hadi nje tunamuona. Lakini yanga ni tofauti mno.
Nani kakwambia simba Kuna migogoro? Weka ushahidi hapa. Wewe jibu swali mko nafasi ya ngapi?Simba ata ndani sio wazuri na iko na migogoro. Lakini matokeo ya Yanga ndio uwezo halisi wa timu yao ujue. Tena wakiwa bora.
Huwezi kuwa bora ndani alafu nje uboronge kaka. Na simba tatizo lilikuwa uongozi na benchi la ufundi sio wachezaji.Tunazungumzia kwa sasa ambapo Yanga anafanya vizuri ndani ila nje anaboronga, Simba anaboronga kotekote, Nani bora?
Maana hayo maelezo unaonyesha Simba hayupo vizuri kotekote.
Ya pili kwenye kundiNani kakwambia simba Kuna migogoro? Weka ushahidi hapa. Wewe jibu swali mko nafasi ya ngapi?
Asec na Whydad sio wabovu. Angalia kwenye ligi zao. Sema Simba ni timu kibwa sana kwa sasaYanga angekuwepo lile kundi la mikia angekua anaongoza lile kundi