Yanga ya Ligi kuu ni kama Barcelona ila Ya klabu bingwa ni kama Mashujaa tu. Je jk alikuwa sawa bado inashinda Ligi kwa mbinu sio?

Yaani ni sawa sawa na MENDE KUANGUSHA KABATI πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“

ULIONA WAP ??!!
 
Singida fountain gate wameupiga mwingi 😊 Ila yanga wameupiga zaidi binafsi naiombea mabaya YANGA kwenye match zoteee zilizo bakia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…